Ng'ombe aina hii wanapatikana nchi gani?

Ng'ombe aina hii wanapatikana nchi gani?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,271
Reaction score
9,325
Wanapatikana nchi gani hasa?

Wanauzwaje?

Wanatoa maziwa lita ngapi kwa siku?

Wanastahimili magonjwa kwa kiwango gani kulinganisha na hawa wetu?

Nyama yao ina ladha ya aina gani?

FB_IMG_15987261619433603.jpg
 
Hata me nawatafuta kweli yaani!

Na akipatikana pia mchungaji wake kama huyo wa mbele itapendeza!
 
Siku hizi wanapatikana kila sehemu, ukianza kuchagua kama unataka asilia au man made hapo ndo utafiti utahusika ingawa kwa hapa kwetu, Tabora, Kigoma, Mbeya(Hayati Masogange, Amber zote, Gigy, Sanchoka n.k) na Usumani ndio maarufu.

Uchagani, Tanga na Pwani wanapatikana kama imepigwa kolabo, na hapo chotara yake inakuwa kama ile NSIA SWAI, ambayo inakukuwa bora sana kuliko wa upande mmoja...refer ndege mnana, mwili mgumu hautikisiki, Datas, miguu imezidiwa na mwili n.k
 
Hawa wapo Kagera ingawa wale ni wadogo kiasi, wanakua na kuzeeka haraka, pembe zao kubwa, kwa uzoefu wangu wasumbufu. Kwanza hawawezi kupanda milima na wazembe flani hivo ni rahisi kuvunjika au kuumwa. Sijaona wafugaji wakiprefer aina hii.

Labda ng'ombe wanabagua maneneo, kuna don mmoja alinunua mang'ombe kibao kutoka Musoma kipindi cha ukame akayahamishia Kagera yakafa yote wakati maji na malisho yapo. Sasa sijui walikosea wapi.

Kwetu hakuna historia ya ufugaji, nimetumia kumbukumbu za uelewa wangu mfupi.
 
Zaidi wanapatikana Uganda ila wao wana sura sio nzuri sana. Pia wanapatikana Rwanda ila hawana mwilii mkubwa sana kama ng'ombe huyu.
Ankole Rwanda na Uganda Ila wanapembe ndefu, hawana nyama Wala maziwa mengi huyu ni watofauti
 
Back
Top Bottom