elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,732
Hii ngoma nzuri itasumbua siyo kama feeling good iliyobuma.
Hii nzuri sana.
Kiba kaimba safi kama kawaida ila apunguze yoo zinaboa sasa.
Halafu kumbe album zinalipa wanadai copy 10,000 za kwanza zimeisha tayari.
================
=============================
Hii nzuri sana.
Kiba kaimba safi kama kawaida ila apunguze yoo zinaboa sasa.
Halafu kumbe album zinalipa wanadai copy 10,000 za kwanza zimeisha tayari.
================
=============================