FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
Hapana ...limekudhalilisha
Naona limekugusa pazuri. Mbowe Fuso chakavu mbili million 600 Wewe unaona ni mazuri hayo? Kwa chama ambacho hata kina panga.
Hapana ...limekudhalilisha
Porojo ndio nini sasa?,
Sio lazima ukubali, hilo na pia nilijua utapinga tu kwa sababu zako binafsi,
ujiachie huru kiakili ili uwe na amani, maana kazi kutetea na kushabikia ujinga ili mradi fulani kafanya,
kwa kifupi Mradi wa kitapeli wa IPTL ulianza chini ya Waziri KiKWETE, huyo huyo unayemsifia sasa
Sijakuelewa huo ujuha unaousema unatokana na nini? kwani hii habari ukiisoma ina angle nyingi unazoweza kuchangia,na mimi niliona nichangie hilo la mataifa ya nje na jinsi yanavyothamini maslahi yao kwa namna yeyote ile kwa kutetea makampuni yao,kama kuamua kuchangia mada hiyo katika mjadala huu ndio ujuha ,basi nakubali mie ni juha ila tu napenda ufahamu hapa duniani hakuna mwerevu wa mambo yote.
Hao Standard Chartered walitakiwa wakaidai Mechmar walioikopesha na si IPTL wala TANESCO. Na kisheria Mechmar imefilisika, STANDARD CHARTERS wanatakiwa wadai Insurance yao lakini badala yake wanakuja kuidai TANESCO kwa kuwa tu TANESCO wamelala doro.
Wamelala doro kwa kuwa wangenunua wao wenyewe kwa mkopo mitambo mizuri zaidi ya hiyo na mpaka sasa deni lingekuwa limekwisha zamani na umeme kushuka bei.
TANESCO walikuwa wanajifikiria matumbo yao tu mpaka Kikwete alipokuja na kubadilisha mambo kwa kuamua kununuwa mitambo yetu wenyewe na si kukodisha tena, Kinyerezi I, II, III na IV.
Kudos Kikwete.
Usaid it all!By the way Mbona haya majina ya waliopokea ni wa #DiniYao tu na hata benki ni ileile ya #DiniYao ?Vipi sisi wa #Diniyetu ?Hao Standard Chartered walitakiwa wakaidai Mechmar walioikopesha na si IPTL wala TANESCO. Na kisheria Mechmar imefilisika, STANDARD CHARTERS wanatakiwa wadai Insurance yao lakini badala yake wanakuja kuidai TANESCO kwa kuwa tu TANESCO wamelala doro.Kudos Kikwete.
Naona limekugusa pazuri. Mbowe Fuso chakavu mbili million 600 Wewe unaona ni mazuri hayo? Kwa chama ambacho hata kina panga.
Naona leo mama Tibaijuka kawalipa wengi mumtetee na radioni pia tumewasikia. lakini tunachowaambia ni kuwa fisadi ni fisadi tu, na hakuanza leo. Mtaongea sana lakini ukweli unajulikana. Punda kabisa.
Hao Standard Chartered walitakiwa wakaidai Mechmar walioikopesha na si IPTL wala TANESCO. Na kisheria Mechmar imefilisika, STANDARD CHARTERS wanatakiwa wadai Insurance yao lakini badala yake wanakuja kuidai TANESCO kwa kuwa tu TANESCO wamelala doro.
Wamelala doro kwa kuwa wangenunua wao wenyewe kwa mkopo mitambo mizuri zaidi ya hiyo na mpaka sasa deni lingekuwa limekwisha zamani na umeme kushuka bei.
TANESCO walikuwa wanajifikiria matumbo yao tu mpaka Kikwete alipokuja na kubadilisha mambo kwa kuamua kununuwa mitambo yetu wenyewe na si kukodisha tena, Kinyerezi I, II, III na IV.
Kudos Kikwete.
Faiza you are better than this......ni vipi kama ukinyamaza kutojibu issues kama hizi
So zile hela alizokiri kupokea yule mama tibaijuka ni za nani
Msipotoshe watu, account za Escrow zipo BoT na si Benki ya Mkombozi.
So Mimi ni mjinga kuwa sijuhi kuwa hela za ESCROW zina kaa BOT?
Sasa Niambie zilipotoka ESCROW zilienda wapi? sio MKOMBOZI au?
Nimabie waliokula mlungula wengi wao walilipiwa wapi?
Escrow itawakosesha raha kesho, Subiri.
Kijana, pesa za escrow zimeanza kuwekwa mwaka 2006, au hii mada hujaisoma?
Naona kipindi hicho cdm walikuwa madarakani ccm wameikuta.
Nadhani stanchart walijichanganya toka mwanzo...wao walinunua mkopo ambao ulikua ha u perform kutoka malaysian Bank....kipindi hicho Mechmar ina struggle na kukaribia kufa...But stanchart wakaamua kuubeba mkopo vile vile ulivyo....
Sababu ya kuubebe ni kuwa waliona capacity charges zilivyokuwa inflated wakawa wanategemea wataivuna pesa iliyoko kwenye escrow Account.
Kimsingi hii vita ni ya Serikali ya Uingereza ambaye anapigania maslahi ya Benki yao Stanchart na Nimrod Mkono anayelipiza kisasi kwa kunyimwa mkataba wa uanasheria wa TANESCO.....UK na Nimrodi Mkono ndio the real men behind.....hawa kina kafulila ni waqnaotumwa kuongea tu....
But Zitto ni mtu wa system na ana kazi maalum pale
Chadema madaraka wayaote tu.
Ungefatilia hiyo post ungejuwa ilichokijibu.
Chadema madaraka wayaote tu.
Ungefatilia hiyo post ungejuwa ilichokijibu.
Kiukweli CCM imetutoa kwenye umasikini mkubwa...sashivi nchi yetu ni tajiri haswa....
Watanzania sashivi ni matajiri....
Huduma za jamii zipo za kutosha...Afya bora...elimu bora...mabarabara na viwanja vya ndege bora kabisa...
Uwajibikaji upo tele chini ya chama chetu tukufu CCM...chama chetu hakilei wala rushwa....chama chetu ni kimbilio la wanyonge.
Chama chetu CCM kimehakikisha watanzania wananufaika na rasilimali zilizopo nchini kwetu....Madini...uvuvi...gesi asilia...utalii n.k
Chini ya chama chetu jamii zote zinazozunguka hifadhi za taifa zimeboreshewa makazi yake...huduma za jamii za kutosha...jamii hizo zinaishi kwa amani tele.
Tumeweza kuendeleza viwanda vya kutosha...malighafi kutoka mashambani zinatumika katika viwanda vyetu....Sisi ndio super power katika afrika mashariki.
CCM kidumu daima milele