Ngoma ya escrow kumbe ni standard chartered

Ngoma ya escrow kumbe ni standard chartered

kumbe ndani jm kuna kundi kubwa la majuha watu wasiokubali ukweli sasa naelewa tz tunachezewa kwa sababu ni wazembe wa kufukiri

Sijakuelewa huo ujuha unaousema unatokana na nini? kwani hii habari ukiisoma ina angle nyingi unazoweza kuchangia,na mimi niliona nichangie hilo la mataifa ya nje na jinsi yanavyothamini maslahi yao kwa namna yeyote ile kwa kutetea makampuni yao,kama kuamua kuchangia mada hiyo katika mjadala huu ndio ujuha ,basi nakubali mie ni juha ila tu napenda ufahamu hapa duniani hakuna mwerevu wa mambo yote.
 
Hii ndo thread nzefu kuliko zote zinazohusu ESCROW A/C ila imejaa pumba tupu bila hoja ya msingi.....wht we need is our monies back
 
Kumbe jMali n

ni Anna Tibaijuka, maana story yote hii imekwenda ikazunguka ikarudi ina lengo la kumsafisha AT! Kwanini haimtaji Chenge naye aliomba za kusomesha nani?

Kama pesa sio za umma, kwanini serikali inahaha kuondoa muswada usijadiliwe Bungeni? Kama ni kama ulivyosema, walitenge bungeni lijadiliwe ijulikane wazi kuwa siyo pesa za wananchi. Hofu iko wapi? Chenge, Ngereja wako humo bungeni mbona wamenyamaza mpaka hali imefika hapa!
 
Hata mkuu wa nchi kwenda USA na msafara wa wanafamilia/wapambe lukuki kwa ajili ya kutumbua busha nayo sawa tu ilhal watoto hawana madarasa/madawati na akina mama wanajifungulia njiani ama maeneo ya wazi bila kupata huduma za msingi

Umeshasema "mkuu wa nchi".

Wakati tulipokuwa masikini zaidi ya hii leo, tulipeleka nje hata Rais mstaafu mpaka akafia huko huko, ulisema chochote na tulikuwa katika hali mbaya kiuchumi.
 
Pendekezo la kununu mitambo Mipya ya Mafuta lilikuwepo na lilipelekwa wizarani kwa Waziri wa NISHATI NA MADINI wa wakati huo, Ndugu JAKaYA MRiSHO KiKWETE, Akalikataa hilo pendekezo kwa maelezo kwamba Raisi ALHjI ALLy HaSSAN MwINYI amepata mwekezaji IPTL


Porojo hizo. Onesha ushahidi wa hilo pendekezo.
 
Nadhani stanchart walijichanganya toka mwanzo...wao walinunua mkopo ambao ulikua ha u perform kutoka malaysian Bank....kipindi hicho Mechmar ina struggle na kukaribia kufa...But stanchart wakaamua kuubeba mkopo vile vile ulivyo....

Sababu ya kuubebe ni kuwa waliona capacity charges zilivyokuwa inflated wakawa wanategemea wataivuna pesa iliyoko kwenye escrow Account.

Kimsingi hii vita ni ya Serikali ya Uingereza ambaye anapigania maslahi ya Benki yao Stanchart na Nimrod Mkono anayelipiza kisasi kwa kunyimwa mkataba wa uanasheria wa TANESCO.....UK na Nimrodi Mkono ndio the real men behind.....hawa kina kafulila ni waqnaotumwa kuongea tu....

But Zitto ni mtu wa system na ana kazi maalum pale

Duh, balaaaaaa
 
Porojo hizo. Onesha ushahidi wa hilo pendekezo.

Porojo ndio nini sasa?,
Sio lazima ukubali, hilo na pia nilijua utapinga tu kwa sababu zako binafsi,

ujiachie huru kiakili ili uwe na amani, maana kazi kutetea na kushabikia ujinga ili mradi fulani kafanya,

kwa kifupi Mradi wa kitapeli wa IPTL ulianza chini ya Waziri KiKWETE, huyo huyo unayemsifia sasa
 
Wenzio tuko kwenye dimond we uko na IQ 70 were nenda escow wenxio twacheza ngororo ya domo
 
story ndeeeeeeeefu hadi nimesinzia nilichokiona hapa ni kumsafisha tu tibaijuka
 
hata zingekuwa za VIKOBA tunataka pinda na werema wapige nyama chini
 
Back
Top Bottom