Ngoma ya Diamond na Ne-yo imevuja

hiyo ngoma haija achiwa kwa bahati mbaya kaka,tecnically ni kuuzima ule wimbo wa bwana mahipsi na Ali.
hebu acha kusikiliza story za facebook huko! zamani sana hata kabla ya hiyo collabo ya ommy na alikiba haijafanyika mond alishasema atatoa wimbo wake na neyo kabla ya tour yake huko unyamwezini mwezi ujao
Itafte interview yake na wekend chatshow
 
Ww ndo umeanzisha mm nikamaliza so kama vipi get off me
Wewe ukitoa uzi humu subiri comments tu,usimpangie mtu acomment nini,Hili ni Jukwaa Huru...#Huumchezohauhitajihasira_Tunasepanakijiji.
 
hebu acha kusikiliza story za facebook huko! zamani sana hata kabla ya hiyo collabo ya ommy na alikiba haijafanyika mond alishasema atatoa wimbo wake na neyo kabla ya tour yake huko unyamwezini mwezi ujao
Itafte interview yake na wekend chatshow
How old are U?
 
Sasa sijui imevijaje wakati Bbc1extra wanaipiga hiyo nyimbo
 
I want to marry yoo...domo kwa nini ana imitate wanaija sana mpaka anabore.... Zama zinakwishwa mark my words kama AY
 
Wimbo uko pouwa, ila hii nahisi itasahaulika mapema maana ni moja ya zile Bubble gum music
 
The game changer himself kwenye majukumu yake yakuendelea kuwafundisha wasanii wenzke nini maana ya burudani.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…