Mbona hujaweka link,sasa sijui tutaisikilizia wapi?,imevuja au wameivujisha wenyewe?Isikilizen na nyie
Mm nimetoa tarifa so kama wamevujisha wenyewe au imevuja kutoka kwngne mm cjuiMbona hujaweka link,sasa sijui tutaisikilizia wapi?,imevuja au wameivujisha wenyewe?
Naona ni wanaigeria ndio wamefanya yao, wamejipigia promo la hatari.Isikilizen na nyie
Kweli eeeehNgoma mbovu
Acha wivukumpeleka neyo kwenye afro pop wakati yeye ni muimbaji wa rnb kumemshusha kiwango kabisaa,na huu wimbo hautakuwa na video ni mbaya sana kwa mara ya kwanza ameharibu domo
ukute hata pambio au kaswida hujawahi imbaNgoma mbovu
WIVU UPI USEMAO HEBU WEKA UONGO WANGUAcha wivu