Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,429 Reaction score 139,486 Mar 15, 2026 #1 View: https://youtu.be/wcK3l4KHXY4?si=siBxITGpZlXWmDha Humu kuna Chid, Cannibal Kichwa Kibovu, Jones mwenyewe, Belle 9, Stamina na Jay More Nani amefunika wengine? Kwangu naona Cannibal kachana vibaya sana. Nimefurahi kumuona karudi.
View: https://youtu.be/wcK3l4KHXY4?si=siBxITGpZlXWmDha Humu kuna Chid, Cannibal Kichwa Kibovu, Jones mwenyewe, Belle 9, Stamina na Jay More Nani amefunika wengine? Kwangu naona Cannibal kachana vibaya sana. Nimefurahi kumuona karudi.
Blockchain JF-Expert Member Joined Feb 27, 2026 Posts 950 Reaction score 2,658 Mar 15, 2026 #2 Khaligraph ni mnyamaaa hatarii Jay Moe habari ingine ..🔥🔥
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 7,263 Reaction score 20,963 Mar 15, 2026 #3 Kipenzi Changu said: View: https://youtu.be/wcK3l4KHXY4?si=siBxITGpZlXWmDha Humu kuna Chid, Cannibal Kichwa Kibovu, Jones mwenyewe, Belle 9, Stamina na Jay More Nani amefunika wengine? Kwangu naona Cannibal kachana vibaya sana. Nimefurahi kumuona karudi. Click to expand... Cannibal kichwa kibovu huwa namwelewa sana...
Kipenzi Changu said: View: https://youtu.be/wcK3l4KHXY4?si=siBxITGpZlXWmDha Humu kuna Chid, Cannibal Kichwa Kibovu, Jones mwenyewe, Belle 9, Stamina na Jay More Nani amefunika wengine? Kwangu naona Cannibal kachana vibaya sana. Nimefurahi kumuona karudi. Click to expand... Cannibal kichwa kibovu huwa namwelewa sana...
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,429 Reaction score 139,486 Mar 15, 2026 Thread starter #4 mcTobby said: Cannibal kichwa kibovu huwa namwelewa sana...View attachment 3558222 Click to expand... Kuna kipindi Street Hustler nilikuwa naisikiliza siku nzima
mcTobby said: Cannibal kichwa kibovu huwa namwelewa sana...View attachment 3558222 Click to expand... Kuna kipindi Street Hustler nilikuwa naisikiliza siku nzima
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 7,263 Reaction score 20,963 Mar 15, 2026 #5 Kipenzi Changu said: Kuna kipindi Street Hustler nilikuwa naisikiliza siku nzima Click to expand... Dah ..yaani acha kabisa 🙌.. jamaa anajua ... Halafu ni kama jamaa wa Kenya hivi au vipi?.
Kipenzi Changu said: Kuna kipindi Street Hustler nilikuwa naisikiliza siku nzima Click to expand... Dah ..yaani acha kabisa 🙌.. jamaa anajua ... Halafu ni kama jamaa wa Kenya hivi au vipi?.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,429 Reaction score 139,486 Mar 15, 2026 Thread starter #6 mcTobby said: Dah ..yaani acha kabisa 🙌.. jamaa anajua ... Halafu ni kama jamaa wa Kenya hivi au vipi?. Click to expand... Mtu wa Mombasa huyo. Hatumii nguvu kuchana
mcTobby said: Dah ..yaani acha kabisa 🙌.. jamaa anajua ... Halafu ni kama jamaa wa Kenya hivi au vipi?. Click to expand... Mtu wa Mombasa huyo. Hatumii nguvu kuchana
Blockchain JF-Expert Member Joined Feb 27, 2026 Posts 950 Reaction score 2,658 Mar 15, 2026 #7 mcTobby said: Cannibal kichwa kibovu huwa namwelewa sana...View attachment 3558222 Click to expand... Nilikuwa naipenda sana ngoma yake flani aliimba na Amida kitu kama sikosei, kama wimbo flani hivi ka mapenzi katamu
mcTobby said: Cannibal kichwa kibovu huwa namwelewa sana...View attachment 3558222 Click to expand... Nilikuwa naipenda sana ngoma yake flani aliimba na Amida kitu kama sikosei, kama wimbo flani hivi ka mapenzi katamu
BARDIZBAH JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 6,417 Reaction score 12,995 Mar 15, 2026 #8 Cannibal huyu wa kwenye i am bad man hapo ulipo sipo?
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 7,263 Reaction score 20,963 Mar 17, 2026 #9 Kipenzi Changu said: Mtu wa Mombasa huyo. Hatumii nguvu kuchana Click to expand... Na kweli .. anajua sana mwamba... BARDIZBAH said: Cannibal huyu wa kwenye i am bad man hapo ulipo sipo? Click to expand... Yea
Kipenzi Changu said: Mtu wa Mombasa huyo. Hatumii nguvu kuchana Click to expand... Na kweli .. anajua sana mwamba... BARDIZBAH said: Cannibal huyu wa kwenye i am bad man hapo ulipo sipo? Click to expand... Yea