Ngoma nzito majimbo haya

Ludewa hata akipita Filikunjombe sawa tu.
Ila majimbo ya Mbeya mjini, kibamba, ubungo, arusha mjini. Hao wagombea wameshapita.
Kwamfano JJMnyika hana haja ya kufanya kampeni na atashinda kwa kishindo.
 
Tuliambiwa Mwakyembe hatakiwi huko, hii 50 kaipata wapi?!

UKAWA wameanza kutafunana wao kwa wao lkn Dr Mwakyembe kafanikiwa kuzima maasi kwani mpinzani wake mkubwa George Mwakalinga kajiunga CHADEMA na Kipija kateuliwa kuwemo kwenye team yake ya kampeni

UKAWA wakitulia wakirudisha umoja Mwanyamaki atashinda kwa zaidi ya 60% lkn wakiendelea kama kama hivi bila umoja Mwakyembe atashinda kwa within margin of error
 
Zitto na Kabourou, Fubusa na Serukamba. Nampa Fubusa 60%, Zitto nafasi ya kurudi bungeni ni finyu sana.

Zitto anarudi tena kwa kishindo,Dr Walid Kaboulou aliposhindwa ubunge 2005 aliwakejeli sana wananchi wa kigoma,hivyo bado wanakumbuka matusi yake vizuri
 
lissu anapambana na nani upande wa ccm ? wakuu anyejua.atuwekee hapa. pia kamanda sugu tafadhali...
Wema Sepetu so ndio alisema anarudi Singida kupambana na Lissu? Pengine slimaanisha kupiga kampeni,kama ni hivyo Lissu alindwe sana asije kaa faragha na huyo kwani tusije shangaa Lissu anatabgaza kujitoa baada ya wao kukaa faragha. He he he
 
Iringa Msigwa anatoboa asubuhi Kabisa, Mwakalebela Hana uwezo wakusimama na Msigwa. Alipata jina kipindi ile alikua na vichenchi alivyopiga kwenye Mpira. Saivi anachoweza kishinda kwenye grocery yake akilewa.
 
Hapo Kahama Lembeli hana ubavu wa kushindana na Kishimba, labda miujiza na upepo wa mabadiliko vinaweza kumsaidia angalau kufikisha 30% huku nyingine zilizobaki zikichukuliwa na yule mfuasi wa Zito (Bobson)
 
Hapo Kahama Lembeli hana ubavu wa kushindana na Kishimba, labda miujiza na upepo wa mabadiliko vinaweza kumsaidia angalau kufikisha 30% huku nyingine zilizobaki zikichukuliwa na yule mfuasi wa Zito (Bobson)

Wewe upo kahama ipi ambayo inamwona KISHIMBA anaweza kupita? kahama niliyopo mimi(mjini) LEMBELI anatangaza ushindi saa 4asubuhi tu.
 
Kyela Mwanasheria Harrison Mwakyembe wa CCM vs Mhasibu Abraham Mwanyamaki wa UKAWA

PATACHIMBIKA na wapo 50-50 yyt akipiga kampeni vyema anashinda
ukisema ni 50-50 utakuwa hauko sahihi , uchunguzi wangu unaonyesha kwamba ABRAHAM MWANYAMAKI yuko juu sana , atashinda kwa zaidi ya 70% , ahadi za UONGO za 2010 zimemponza vibaya sana ! na kuna ushahidi kwamba alitoa ahadi akijua kabisa ni uongo .
 
Zitto anarudi tena kwa kishindo,Dr Walid Kaboulou aliposhindwa ubunge 2005 aliwakejeli sana wananchi wa kigoma,hivyo bado wanakumbuka matusi yake vizuri
ni bahati mbaya sana kwamba zitto hawezi kuwa mbunge tena , usaliti ni laana mbaya sana .
 
Back
Top Bottom