Ngoma inogileee.....!!

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Beatrice Shayo 6th October 2012


email.png

B-pepe



printer.png

Chapa



comment_bubble.png

Maoni





headline_bullet.jpg
*Sasa kutinga Kisutu Jumatatu



lulu%20ippm.jpg

Msanii wa fani ya Filamu nchini Elizabeth Michael 'Lulu'


Jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa imeamua kusitisha uamuzi wa Mahakama Kuu ya kutaka kuchunguza umri wa Msanii wa fani ya Filamu nchini Elizabeth Michael maarufu kama Lulu na badala yake imeelekeza jalada la kesi lirudi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuendea na kesi ya msingi.
 
Back
Top Bottom