Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,702
- 13,126
Hii ngoma lazima itazua balaaa
Hapo hakuna kubakana ni mwendo wa ONGEA NAYE MPAKA MWISHO NI....(MR EBO)Ndio mwanzo wa Kubakana huo!!
mambo ya pwani kakaNaona wanacheza mduara mwisho wa siku ni kuchafuana
Raha ya Afrika bi dada.hapo si kucheza tena wanabambiana tu
Umeona eh! halafu kamanda Kova eti katuzuia.Mwisho wa siku ni michepuko mwanzo mwisho
Santeeee nashukuru kama umeliona hilo.mwelekeo wa hii ngoma sio mzuri kabisa:evil:
ila balaa lake ni la raha wala hatoumia mtu.Hii ngoma lazima itazua balaaa
Hapana hii ni bongo fleva.Ndio vigodoro hivyo?
ndio wanataka kukunana tena hapo.washawasha wanawashwa