MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,707
- 21,867
Hahahaa humuelewi MSAGA SUMU mkuu?WTF!!
Kwa hiyo Rubby atapigiwa simu tena kama huyo mbwa kigogo akimpa mimba mbwa mwingine wa mtaa wa saba!
Naona weekend inaanza uzuri,eeeh bwana Msaga Sumu tutafutie post ya Le Mutuz ya kumalizia week.
Hapana chezea msaga sumu...nimecheka hapa.! Nilivamia uzi kwa pupa nilichokikuta hatareeNaona weekend inaanza uzuri,eeeh bwana Msaga Sumu tutafutie post ya Le Mutuz ya kumalizia week.
Ule ubuyu wa scoop kuhusu mbongo movie unamhusu Uwoya?Naona weekend inaanza uzuri,eeeh bwana Msaga Sumu tutafutie post ya Le Mutuz ya kumalizia week.
Naona weekend inaanza uzuri,eeeh bwana Msaga Sumu tutafutie post ya Le Mutuz ya kumalizia week.
Hebu ngoja nikaucheki mamito,nitakupa feedback.Ule ubuyu wa scoop kuhusu mbongo movie unamhusu Uwoya?
Scoop ndo nani?Ule ubuyu wa scoop kuhusu mbongo movie unamhusu Uwoya?
Page ya mtu aitwa scoop_tzScoop ndo nani?
Ebu mwaga kidogo basi.
Hivi esma anashindwa kupanga hata chumba na sebule, hana kazi?Mupenzi Evelyn Salt nimetafakari lile jambo sijapata jibu.
Ila mbongo muvi mwenye mimba kwa sasa tofauti na Wema nasikia ni Kajala.
Uwoya sidhani kama ana mimba,hata hivyo tusubiri tu,time will tell au yatajulikana tu.
Nimechekaje vichambo vya mama Tiffah?
Na Esma je?
Na Idriss alivyombana Wema?Uwiiiiiii eti Petit Man akatafute kazi ya kufanya....