Ngoma bila kulewa...

Ngoma bila kulewa...

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,822
[video=youtube_share;h7y2JNV9R64]http://youtu.be/h7y2JNV9R64[/video]
 
mi naona boko haram wanamchinja mtu hapo
 
Bila shaka kijana aliiona papuchi ikiwa kwenye mood ndo maana gafla akaamua kutimua mbio
 
Jamaa ana bahati sana.

Angeacha kinywa wazi na kwa bahati mbaya angeletewa maeneo ya kinywani lazima angeunywa
 
FaizaFoxy inawezekanaje mtu amkojolee tu hivi hivi ??

can it really happen au ni mirija iliachia kwa sababu za kiafya?
 
Last edited by a moderator:
Very interesting.

Huyu atakuwa ni dada yangu mhaya maana wale unaweza fikiri mkojo kumbe ndio mtu keshazidiwa hapo??? FaizaFoxy ww kabila gani?
 
Qur'an 49:13.
Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.
***

Tumekujaliane kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane!

Sasa Mbona ww nakuuliza kabila hunijibu unaniletea quotes za kwenye kitabu kitukufu???
 
Malizia basi mbona umeishia nusu tu.

Mimi ukisoma soma sana humu JF nimeshatangazza mara chungu nzima mimi ni kabila gani, lakini point yangu ni kuwa,

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Qur'an 49:13.
Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.
***
 
Sasa mkojo una uhusiano gani na kucheza au alikuwa anaumwa fistula huyo
 
Lohhh, wewe FF unashinda kwenye youtube unaangalia vituko?

Hahahahaa, she come over him. Yaani hapa ni Mdada alipata mfadhaiko...... Enzi hizooo pale Tanesco Dar.

Anyway, mambo ya Vegas huwa yanabaki hukohuko..... Tuwaache na Vegas yao.

index.php
 
Back
Top Bottom