Ngolo Kante Miaka Michache Iliyopita!

Ngolo Kante Miaka Michache Iliyopita!

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,106
French soccer team defender hero, Ngolo Kante was selling water on the dusty street of Bamako, Mali just a few years ago.

Believe in your dreams.
FB_IMG_1532426165841.jpg
 
French soccer team defender hero, Ngolo Kante was selling water on the dusty street of Bamako, Mali just a few years ago.

Believe in your dreams.View attachment 817237
Hajawahi ishi Mali huyo kama nyumbani, kazaliwa ufaransa na kaanza academy huko ufaransa akiwa mdogo kabisa. Mali huwa anaenda tembea tu ila makazi ni ufaransa. Kwa kifupi haya maisha ya mtaani hayajui licha ya kuwa na sura ya mitaani.
Picha ya photoshop. Nipe picha yako nikueditie kisha hauta amini.
 
Tuachen tujipe moyo kidogo
 
Hii picha nimeiangalia sana lakini haileti kabisa uhalisia, sijui kwa nini.
 
Back
Top Bottom