Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,916
- 133,931
YapojeMaendeleo ya moyo hayapogi ivo
YapojeMaendeleo ya moyo hayapogi ivo
Aliniudhi alivyochagua kuchezea Timu ya Taifa ya Ufaransa badala ya Mali ya akina Diara.Huku wangesema amerogwa.
Muheshimu sana mtu anayepata pesa ndefu halafu bado yuko humble maana ni vigumu saana, vita ni kubwa na vishawishi ni vingi.
Africa ukiiendekeza sana unaweza kujuta. Labda taifa lake halikumshawishi vya kutosha kulitumikia. Nina uhakika ni mzalendo wa kweli kama tunavyoona hapa.Aliniudhi alivyochagua kuchezea Timu ya Taifa ya Ufaransa badala ya Mali ya akina Diara.
Kante hana haya 😂😂😂😂Kante akiwa kitaaView attachment 3276499
Wahuni sio watu watakuwa washaizamia dm, si imeolewa na tajiriKaopoa bonge ya pisi yaan hio huna hata haja ya kukaa unawaza km kuna wahuni wanakuchapia
Sura inafunikwa na mto ila pesa inatakatishaWahuni sio watu watakuwa washaizamia dm, si imeolewa na tajiri
Sasa jiulize kwanini hakuoa wanawake wenye exposure kama wewe. Kwa ndani kabisa huwa mnamuelewa Natafuta Ajira ila huwa mnamponda basi.Kuna huyu na Sadio Mane huwa wanaishi tofauti na wachezaji wengine, Mane akiwa Liverpool aliwahi kupigwa picha ikionesha simu yake ina cracks kibao kwenye screen, naye hakutaka mambo mengi akaamua kuoa zake binti mbichi toka kijijini kwao huko
Mimi sina shida na mwanaume kuoa mwanamke bikira ila shida je huyo mwanaume naye background yake kwenye mahusiano ikoje, mtu kama Sadio anaonekana kabisa hana mambo ya kuwa na wanawake wengi ndio maana naye hakutaka kuwa na mwanamke wa hivyo and that is fine, ningemshangaa mtu kama Ronaldo kutaka kuoa mwanamke bikira maana yeye mwenyewe ni player na analijua hilo ndio maana kachukua zake mwanamke mwenye exposure na mambo mengi kama yeye, shida ya hao ndugu zako wao wanalazimisha kwamba mwanaume hawi judged na past yake kwenye mahusiano lakini kiuhalisia ukija kuangalia, utaona huwezi kupata wanawake waliojitunza kwenye jamii ambayo hata wanaume hawajajitunza vinginevyo mtuambie hao wanaume wanafanya na kina naniSasa jiulize kwanini hakuoa wanawake wenye exposure kama wewe. Kwa ndani kabisa huwa mnamuelewa Natafuta Ajira ila huwa mnamponda basi.
KIla siku tunakuambia linapokuja suala la kuoa/kuolewa vigezo vinavyomuhukumu mwanaume ni tofauti kabisa na vinavyomuhuku mwanamke.Mimi sina shida na mwanaume kuoa mwanamke bikira ila shida je huyo mwanaume naye background yake kwenye mahusiano ikoje, mtu kama Sadio anaonekana kabisa hana mambo ya kuwa na wanawake wengi ndio maana naye hakutaka kuwa na mwanamke wa hivyo and that is fine, ningemshangaa mtu kama Ronaldo kutaka kuoa mwanamke bikira maana yeye mwenyewe ni player na analijua hilo ndio maana kachukua zake mwanamke mwenye exposure na mambo mengi kama yeye, shida ya hao ndugu zako wao wanalazimisha kwamba mwanaume hawi judged na past yake kwenye mahusiano lakini kiuhalisia ukija kuangalia, utaona huwezi kupata wanawake waliojitunza kwenye jamii ambayo hata wanaume hawajajitunza vinginevyo mtuambie hao wanaume wanafanya na kina nani
Wewe kila siku huwa nakuambia tatizo siyo jamii inaamini vipi, bali je hiyo jamii inachoamini ni sahihi siyo kila kitu jamii inachoamini ni sahihi, wakati mwingine jaribu kutumia logic ya kawaida ndio maana ukaenda shule au ulienda huko kukuwa tuKIla siku tunakuambia linapokuja suala la kuoa/kuolewa vigezo vinavyomuhukumu mwanaume ni tofauti kabisa na vinavyomuhuku mwanamke.
Mwanaume anahukumiwa kutokana na hali yake kiuchumi, haijalishi past yake ilikuaje (labda kama alikua shoga ndio inaweza kuwa tatizo).
Mwanamke anahukumiwa kutokana na purity yake, hata kama ana uwezo kiuchumi past yake ikiwa chafu inamchafulia CV kwenye suala la kuolewa.
Mwanamke atunze bikira yake, ukikubali kuchezewa huo ni ujinga wako. Mwanaume atafute kibunda, akionga na kutapanya hela na kuishia kuwa masikini huo ni ujinga wake. Wakati wa kuoa/kuolewa ukifika kila mmoja atahukumu kivyake bila visingizio vya kurusha lawama kwa jinsia nyingine
Jamii haiwezi kuwa sawa. Miangaiko ya kidunia ndio inazaliwa uongo, ulaghai, utapeli n.k mwisho wa siku kila mtu atahukukiwa kwa maamuzi yake. Uwe mwanaume au mwanamke kama umeitumia past yako vibaya wewe ndio utakua muanga wa consequencies za maamuzi yakoWewe kila siku huwa nakuambia tatizo siyo jamii inaamini vipi, bali je hiyo jamii inachoamini ni sahihi siyo kila kitu jamii inachoamini ni sahihi, wakati mwingine jaribu kutumia logic ya kawaida ndio maana ukaenda shule au ulienda huko kukuwa tu
Hata suala la ukeketaji wa wanawake kwa miaka mingi jamii za kiafrika ziliamini ni sahihi, tena mwanamke ambaye hajakeketwa alikuwa haolewi lakini baada ya kuanza kuelimika, ndio ikajulikana kumbe kukeketwa hakukuwa na faida yoyote kwa wanawake wenyewe bali kwa waume zao au unabisha
Sasa ndio nauliza wanawake wote wakisema wajitunze wanaume watafanya na kina nani, hebu nijibu hili swali na kama watakosa wa kufanya nao sasa huoni kama hapo nao watakuwa wanajitunza, na je wanaume wataweza kuvumilia wanawake kujitunza hadi ndoa
WowMchezaji asiyechukiwa, aliyepita vilabu kama Leicester City, Chelsea, na sasa anakipiga uarabuni Ngolo Kante amefunga ndoa baada ya kuachana na mwanamke wake wa awali.
Ndoa ya Ngolo Kante ni ndoa simpo sana ambayo haikuwa na makuu.
Kwa msiofahamu, Ngolo Kante analipwa Dola za Marekani 520,000/= kwa wiki ambazo ni sawa na Bilioni Moja, Milioni Mia tatu na Laki Tisa na ushee.
Una lipi na kujifunza?View attachment 3276495
Hahahaha, nimekuelewaWewe kila siku huwa nakuambia tatizo siyo jamii inaamini vipi, bali je hiyo jamii inachoamini ni sahihi siyo kila kitu jamii inachoamini ni sahihi, wakati mwingine jaribu kutumia logic ya kawaida ndio maana ukaenda shule au ulienda huko kukuwa tu
Hata suala la ukeketaji wa wanawake kwa miaka mingi jamii za kiafrika ziliamini ni sahihi, tena mwanamke ambaye hajakeketwa alikuwa haolewi lakini baada ya kuanza kuelimika, ndio ikajulikana kumbe kukeketwa hakukuwa na faida yoyote kwa wanawake wenyewe bali kwa waume zao au unabisha
Sasa ndio nauliza wanawake wote wakisema wajitunze wanaume watafanya na kina nani, hebu nijibu hili swali na kama watakosa wa kufanya nao sasa huoni kama hapo nao watakuwa wanajitunza, na je wanaume wataweza kuvumilia wanawake kujitunza hadi ndoa
Dooh naona hilo swali langu bado unakwepa kulijibu, anyway nakubali wanaume na wanawake hawawezi kuwa sawa wako tofauti, ila msilazimishe huo utofauti kwenye kila angle kuna mambo tuko tofauti na kuna mambo tuko sawaJamii haiwezi kuwa sawa. Miangaiko ya kidunia ndio inazaliwa uongo, ulaghai, utapeli n.k mwisho wa siku kila mtu atahukukiwa kwa maamuzi yake. Uwe mwanaume au mwanamke kama umeitumia past yako vibaya wewe ndio utakua muanga wa consequencies za maamuzi yako
MImi sijaangalia kigezo cha hela na bikira kwenye suala la ngono, nimeangalia kwenye suala la kuoa/kuolewa. Kwenye ngono ni sawa wote wana hisia lakini kwenye ndoa watahukumiwa tofauti.Dooh naona hilo swali langu bado unakwepa kulijibu, anyway nakubali wanaume na wanawake hawawezi kuwa sawa wako tofauti, ila msilazimishe huo utofauti kwenye kila angle kuna mambo tuko tofauti na kuna mambo tuko sawa
Katika angle ya ngono na mahusiano mwanaume na mwanamke ni kitu kimoja, ni kama pande mbili za shilingi jamii inachokosea ni kuzihukumu tofauti hizi jinsia mbili, katika tendo la aina moja ambalo linahusisha jinsia zote kwa pamoja
Hata hivyo mnasema mwanaume anakuwa judged kutokana na uchumi lakini kila siku tunashuhudia wanaume masikini, wanapata wanawake na wanaoa kwahiyo kama ambavyo wanaume masikini hawakosi wanawake wa kuoa na hakuna anayelaumu, vivyo hivyo wanawake wasiojitunza nao hawawezi kukosa wanaume wa kuolewa nao kwahiyo nanyi msilaumu
Oohh kwahiyo kumbe ninyi lengo la kuwahukumu wanawake kwenye ngono, ni kwa sababu tu wao wanawahukumu kwenye pesa kwahiyo matokeo yake badala ya kutumia logic, mnatumia mihemko kuwahukumu hata kwa mambo ambayo hayana uhalisiaMImi sijaangalia kigezo cha hela na bikira kwenye suala la ngono, nimeangalia kwenye suala la kuoa/kuolewa. Kwenye ngono ni sawa wote wana hisia lakini kwenye ndoa watahukumiwa tofauti.
Tatizo la wanawake wapo ruthless kwenye kumukumu mwanaume kwankigezo cha hela, lakini wao wakihukumiwa ruthless hivyo hivyo kwenye kigezo cha bikira ndipo vinaibuka visingizio kama vyako.
Unaposingizia sex inafanywa na pande zpte mbili kwani wanawake wanapotuhukumu wanaume kwa kigezo cha hela izo hela wao wamekatazwa kuzitafuta?
Kuna yule jamaa anacheza Newcastle yaani ukimuangalia yule jamaa na watu wa singida ni copy and paste yaani na huyo ngolo ndio kabisa.Kante ni Muha kabisa ipo haja ya kudai turudishiwe mwananchi mwenzetu.
DahMchezaji asiyechukiwa, aliyepita vilabu kama Leicester City, Chelsea, na sasa anakipiga uarabuni Ngolo Kante amefunga ndoa baada ya kuachana na mwanamke wake wa awali.
Ndoa ya Ngolo Kante ni ndoa simpo sana ambayo haikuwa na makuu.
Kwa msiofahamu, Ngolo Kante analipwa Dola za Marekani 520,000/= kwa wiki ambazo ni sawa na Bilioni Moja, Milioni Mia tatu na Laki Tisa na ushee.
Una lipi na kujifunza?View attachment 3276495