Hahahaha cha ajabu ukiwafutalia hawana elimu ya Oxford campring na hata ule ya DSM tu hawajafika hiyo level sijui kama wata theatre namna ganiUtawachanganya wafuasi wa jiwe ujue, wameelekezwa kila uzi waupitie kuona kama ni threat kwa jiwe & co, sasa hii picha sijui kama wataokota kitu hapo