Wakuu habarini za wikiend?Nina habari njema kuwa ule ugonjwa wetu yaani HIV/AIDS sasa umefika kikomo,kuna dawa ambayo utengenezwa kwa miti na kuwa unga imewasadia watu wengi sana na kumaliza kabisa maradhi ya ukimwi.Lakini dawa hii utumiwa na mgonjwa kwa miezi sita asubuhi na jioni,uku akifuata masharti yafuatayo i)kutofanya mapenzi kwa miezi yote sita ii)kutotumia majani ya chai,soda ya cocacola,na kilevi chochote kile kwa kipindi chote cha dozi.Kama una swali piga 0756061271.Hapa hakuna utapeli wala uloliondo,kama una ndugu yako au kuna mtu unamfahamu nitafute alafu yeye atashuhudia,ila masharti hayo ni muhimu kama auyawezi usijisumbue kunitafuta.Asanteni.
Kawadanganye kijijini kwenu
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
huu ugonjwa umekuwa mtaji kwa watu wengine kuanzia sciance dr na wale wakiienyeji na hii ni hatari sana mtu anamatatizo lakini anaongezewa mengine,mfano hawa dr pesa inatumwa kusaidia wagongwa na tafiti wao ni washa,vikao na makongamono,wanagawana hizo pesa na kujengenga majumba,kuendekeza anasa na wao kujikuta ni wahanga,jamani mbona hatari
hapana mkuu sihitaji pesa ila akipona najua ataleta shukrani yake.
mi naamini kila ugonjwa una dawa yake,usihofu kejeli zao kama uyasemayo kweli we jitahidi kuwasaidia tu wanaokuja kuhitaji tiba kwako,mshukuru m'mungu kwa uwezo aliokupa.Hapana mkuu sihitaji pesa ila akipona najua ataleta shukrani yake.
ASANTE KWA TARIFA.cyo kilajambo mpaka afanye ngozi nyeupe ndyo sahih hata cc tunaweza.tujithamini jamani ndg zangun
Kawadanganye kijijini kwenu
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Hongera FIATI, nakupongeza kwa utafiti, jitahidi uende ukasajili hiyo dawa. Mtafute Dr KAUSHIK pale Hindu MAndal Hosp Dar es sALAAM NI MUELEWA, anatibu vigogo wote wenye UKIMWI na KISUKARI, utakuwa umesaidia wengi badala ya kupigishana kelele na watu wasiojua maana ya INNOVATION wala RESEARCH.
Ungeenda DODOMA pale Bungeni utapata watu kibao