Ngoja niseme tatizo langu jamani!!!

Ngoja niseme tatizo langu jamani!!!

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,171
Reaction score
31,357
Mwenzenu nipo addictive na sigara jamani.
It give me pleasures,it helps me the time to think and help me to shut out all distractions in my head.
Haswa wallet ikinuna,akaunti ikiwa haisomi lazima nipulize Embassy Light pakti 2 akili ikae sawa.
Nimeanza kuvuta nipo nimemaliza o level nasubiria kuingia Advance.
Nakumbuka aliyeniingiza ni dada yangu mmoja hivi anakula ile majani miraa akitafuna miraa lazima avute siagara au shisha. Siku nilipoionja ikawa mkombozi nikiwa nataka kusoma kutoboa,nikiwa na mawazo nikiwa sina pesa.
Hapo nitapuliza nitakuwa burudani kabisaa.
Situmii ulevi wowote iwe pombe,bangi,mirungi.
Starehe yangu ni sigara tu japo huwezi kunikuta nikivuta mbele za watu unless ni marafiki zangu wa karibu au na wanafamilia loo hata shem wenu hafahamu hilo.
Sasa basi nataka nijaribu kuiachaila nashindwa nitaanzaje kila nikijaribu nashindwa familia wameniambia nikisikia hamu ya kuvuta ni bora shisha ila mi naona ndo yale yale halafu tabu mamitungi kuanza kuweka moto kutengeneza inachukua mda tofauti na sigara bana.
Saa nyingine kama nikiwa disko naenda kuvuta smoking room huwa naona aibu kweli mdada mie ila ntafanyeje sasa na nisipovuta nakuwa mpole balaaaaaa akili haifanyi kazi wakati nasoma siwezi kusolve kitu au kudiscuss mpaka nikashtue kidogo.
Kama hapa leo tokea saa 7 usiku nalipuliza tu mpaka saa kumi mda wa daku nimeacha kula daku ila kiu haijaisha.
Nahitaji kuacha jamani mnisaidie nahitaji ushauri sihitaji madongo wala matusi.
 
U r already addicted hd steji uliyofika honestly hapa ushauri utakaopata hautakutosheleza ,U better go to rehab centres that's my opinion
Na nkuulize swali inakuaje shem anapodendeka na wewe ?harufu...dah ngekuwa mm French kiss ningekuwa nakupiga suspension-the sigar smell is annoying for sure

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hajui na hata hajawahi isikia hiyo harufu
U r already addicted hd steji uliyofika honestly hapa ushauri utakaopata hautakutosheleza ,U better go to rehab centres that's my opinion
Na nkuulize swali inakuaje shem anapodendeka na wewe ?harufu...dah ngekuwa mm French kiss ningekuwa nakupiga suspension-the sigar smell is annoying for sure

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Amu, adiction ya sigara wa kiasi kikubwa ni mchezo wa akili. Kama unaweza kuzidhibiti fikra zako na kusimamia maamuzi yako ni jambo linalowezekana kuacha sigara bila kutumia dawa, ni kuamua tu, basi.
Nazungumza kwa uzoefu. Nilivuta sigara kwa zaidi ya miaka 15 na moyoni nilikuwa najua kuwa siwezi kuacha. Lakini siku moja nikakata shauri kuwa nataka kuacha, wakati huo nina pakti ya SM mfukoni. Nilitembea na hiyo pakti wiki nzima bila kuchomoa sigara. Baada ya wiki nikaiweka ile pakti chumbani na baada ya wiki nyingine nikawapa marafiki. Sasa nina miaka 14 sijapiga pafu ya sigara, na sikutumia dawa yoyote, ni kuamua tu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole sana, binafsi naichukia sigara na namshangaa anayevuta. Huwa na assume kwamba ana-lack kitu fulani kichwani (samahani kama nitakuwa nimewaudhi sina namna nyingine ya kuliweka). Ngoja tuwaite kina dr MziziMkavu na Riwa pengine wanaweza kukusaidia walau mahali pa kuanzia.
 
Last edited by a moderator:
Da natamani nikuone nikufanyie counselling as social worker natumaini utaacha kwani umeonesha kujuta
 
hakukua na haja ya kuingiza neno daku hapo.... unacheza na imani za watu ndugu
 
hakukua na haja ya kuingiza neno daku hapo.... unacheza na imani za watu ndugu

Mshaanza...nani aliyesema wasilamu wasafi au hawavuti........

Back to topic, usidanganyike shisha hauna tofauti na sigara kwa madhara yake. Ukiamua kuacha acha kabisa, fikiria pia kama ni mwanamke unaweza pata matatizo zaidi wakati wa kubeba mimba na kumdhuru mtoto. Sina mengi ya kukueleza nahisi tafuta some other hobbies, fanya mazoezi ili akili yake iwe busy isifikirie kuvuta.

Kuna dawa pia zinauzwa kukusaidia na kuacha suala hili. Nauliza miraa na mirungi inatofauti gani, mimi naona ni kitu kimoja, hebu nijuze.
 
  • Thanks
Reactions: amu
u hv addicted na cgara, kifo ndo kitakachowatenganisha we na sigara, tangu uanze kuvuta ni miaka mingapi may b naweza kukupa ushauri
 
Ukitaka kuacha tafuta ile picha ya mapafu ya mvuta sigara. Wewe mwenyewe utaidondosha tu!

Wakuu kama kuna mtu anayo ile picha aitupie ili tumsaidie mwenzetu
 
social worker?????

alimaanisha
Medical social work is a sub-discipline of social work, also known as hospital social work. Medical social workers typically work in a hospital, skilled nursing facility or hospice, have a graduate degree in the field, and work with patients and their families in need of psychosocial help. Medical social workers assess the psychosocial functioning of patients and families and intervene as necessary. Interventions may include connecting patients and families to necessary resources and supports in the community; providing psychotherapy, supportive counseling, or grief counseling; or helping a patient to expand and strengthen their network of social supports.
Medical social workers typically work on an interdisciplinary team with professionals of other disciplines (such as medicine, nursing, physical, occupational, speech and recreational therapy, etc.)
 
u hv addicted na cgara, kifo ndo kitakachowatenganisha we na sigara, tangu uanze kuvuta ni miaka mingapi may b naweza kukupa ushauri

miaka 8 tatizo sivuti mara kwa mara kichwa kikiwa kinasumbuka,mambo yananisumbua,kutumia akili nyingi naitumia kujiboost.
And it real work
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom