Ngoja niseme tatizo langu jamani!!!

Ngoja niseme tatizo langu jamani!!!

Mshaanza...nani aliyesema wasilamu wasafi au hawavuti........

Back to topic, usidanganyike shisha hauna tofauti na sigara kwa madhara yake. Ukiamua kuacha acha kabisa, fikiria pia kama ni mwanamke unaweza pata matatizo zaidi wakati wa kubeba mimba na kumdhuru mtoto. Sina mengi ya kukueleza nahisi tafuta some other hobbies, fanya mazoezi ili akili yake iwe busy isifikirie kuvuta.

Kuna dawa pia zinauzwa kukusaidia na kuacha suala hili. Nauliza miraa na mirungi inatofauti gani, mimi naona ni kitu kimoja, hebu nijuze.
ni kitu kimoja hayo ni majina tu
 
Ukitaka kuacha tafuta ile picha ya mapafu ya mvuta sigara. Wewe mwenyewe utaidondosha tu!

Wakuu kama kuna mtu anayo ile picha aitupie ili tumsaidie mwenzetu

uploadfromtaptalk1374995922443.jpg
 
Hakikisha unavuta pakti 7 mda wa daku ili mapafu yakae sawa.Mtume Muhammad naye kavuta sana fegi na kasema ni makruu.Nakutakia uvutaji mwema ili ufe mapema.
 
Tafuta sigara fulani inaitwa "Esse" kama sijakosea spelling lakini inatamkwa hivyo.

Nairobi zipo kwa wingi, zilimsaidia mchizi wangu kuacha
 
Kuacha sigara ni maamuzi,mimi mwenyewe nilivuta zaidi ya miaka 13 lkn niliacha,ukisikia hamu tumia sana pipi kali na pia epuka kukaa na rafiki zako mnaovuta nao.
 
i wish ningekuunganisha na Father Mapunda, he was an addict wa sigara ila aliacha na akaanzisha AA.

Addiction yeyote ni ngumu kuacha ndio maana ikaitwa addiction.

Wengine wanasema ili uache, ukisikia hamu ya kuvuta kula pipi kifua, sina hakika maana si mtaalam.

Pole, hope watakuja wenye mawazo mazuri ya kukusaidia.
 
Hakikisha unavuta pakti 7 mda wa daku ili mapafu yakae sawa.Mtume Muhammad naye kavuta sana fegi na kasema ni makruu.Nakutakia uvutaji mwema ili ufe mapema.
jamani co vizuri ivyo mwenzio anajuta anataka kuacha kuvuta sigara mshauri njia za kuacha sigara na co kumwambia maneno ayo haipendezi Mkuu
 
jamani co vizuri ivyo mwenzio anajuta anataka kuacha kuvuta sigara mshauri njia za kuacha sigara na co kumwambia maneno ayo haipendezi Mkuu
Hata huo ni ushauri mkuu kwa maana nataka avute nyingi ili imkinai aache au afe kabisa.
 
kumbe kweli pipi zinasaidia, nilikuwa sina hakika.

Ila nadhani anatakiwa aanze kuacha taratibu ili aspunguze chances za kupata relapse.

Kuacha sigara ni maamuzi,mimi mwenyewe nilivuta zaidi ya miaka 13 lkn niliacha,ukisikia hamu tumia sana pipi kali na pia epuka kukaa na rafiki zako mnaovuta nao.
 
Kwanin Uache sigara? Je ukiacha utatumia nini mbadala? Mimi binafsi sigara embassy siachi kabisaaaa maana ndio kirevi changu pekee.. Nina weza kufanya kila kitu weekend nikawa natazama muv nisiielewe muv mpaka niwe napata sigara..!! Nikiingia kupuuu huku mkononi na embassy nasikia raha saaaana saaana acha wewe Mimi siachi kabisaaa..........,
 
Ukitangulia umsalimie Saddam Hussein Mkuu.
 
In my opinion you have given cigarete an authoritative power which is merely pyschological than the actual fact..mfano, huwezi kusoma au kufanya kitu kizuri kabla ya kuvuta..this is pyschological and you know for a fact that its not true..ila inakua hivyo sababu you are an addict..

Nimekua na marafiki wanaovuta na wapo walioweza kuacha..Vizuri umechukua first step ya kukubali kuwa you are a addict..hii ni ngazi ya kwanza ya kukubali tatizo..pili inakua will power hii inahitaji wewe mwenyewe kushika mamlaka na kuacha kitendo cha kuvuta..this is an action point..unaweza fanya hii kwa njia kadhaa, ila kwasababu unajijua chagua njia iliyo bora kwako na pia unaweza mtumia mtu akusaidie kwa kuweka hii commitment kwake ili awe ana kumonitor..Ujue kuacha sio rahisi lakini this is where you have to take a stand na kama unakua honest with yourself utaweza kuacha...
NB. It helps kufanya utafiti wa madhara ya sigara kwa afya yako na jinsi gani waweza acha..i'm sure utapata sources nyingi humu mtandaoni...goodluck
 
Hakikisha unavuta pakti 7 mda wa daku ili mapafu yakae sawa.Mtume Muhammad naye kavuta sana fegi na kasema ni makruu.Nakutakia uvutaji mwema ili ufe mapema.

watu
disappointed-young-female-showing-thumbs-down-sign-on-white-woman-picture-84345156.jpg
 
Ndugu yangu tumia pipi kali zinasaidia sana,wanao nifahamu watakumbuka jinsi nilivyokuwa navuta lkn niliacha,ukisikia hamu tafuna pipi na wakwepe wavutaji wenzio.niamini nilisemalo
 
mimi sina cha kukushauri zaidi ya kukuombea kwa Mungu ili siku moja akusaidie uache. pole sana.
 
kumbe kweli pipi zinasaidia, nilikuwa sina hakika.

Ila nadhani anatakiwa aanze kuacha taratibu ili aspunguze chances za kupata relapse.
hiyo ndo style ya kuacha,ukifanya ghafla huwezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom