Ngoja niropoke

Asante bora umesema wewe mimi niliogopa kusema hili mwanzoni maana mngenipopoa mawe.
Thread closed...anzisha nyingine ya kuwapa akili.
Ipo mbona kitambo kabisa labda nikupe link
 
Hapana usinipe link. Inawahusu waoaji

Kiendacho kwa mganga hakirudi
 
Ha haa sawa kaka
 
*Haya magorofa yaliyojengwa wamejenga wao
*Hizi lami na Barabara wametengeneza wao
*Jela huko wamejaa wanaume kisa harakati
*Izo shule wamesoma wafyatua tofali wao
*Uko jeshin wamejaa wanaume wanalinda nchi
Ngoja niishie hapa,Hao feminist activists wakae kwa kutulia pumbavu kabla hatujaacha kuoa waanze matangazo humu ya kutafuta mume

Siku wanaume tukitaka usawa kila eneo kuna mbwa zitalia sana
 
Elimu walizopata wengi wao zimewasababishia kakitu kanaitwa "Control Freak Disorder" (unajua ni kanini haka, soma hapa chini
)

Ni kale ka akili ka kumtaka mwanamke amcontrol mwanaume na kumfanya mwanaume aenende vile mwanamke anataka (amuweke chini)
 
Huu ni mkwara tu.
Kutwa mnawaoa tunaona baada ya muda mnaanza kulialia. Mnashangaza
 
Walio wasomi hawajishughulishi kutaka kujua lengo la hizo Movements. Wanastuka pale wanapojikuta muda wa kuolewa umepita na pengine wamejiingiza ndani sana kwenye maisha pinzani kijinsia.
 
Uncle Mshana shikamoo,ahsantee kwa kushare nasi,binafsi unaonaje ni mambo ya kweli hayo au kwa uzoefu wako kuna tofauti gani kati ya hawa intellectual women na wasio intellectual
 
Mbona umekopi na kupesiti Mshana, inakuwaje?
 
Uncle Mshana shikamoo,ahsantee kwa kushare nasi,binafsi unaonaje ni mambo ya kweli hayo au kwa uzoefu wako kuna tofauti gani kati ya hawa intellectual women na wasio intellectual
Uhalisia ni mwingi sana Emlth wengi wanashindwa kutofautisha kati ya mume na mwanaume
Si kila mwanaume ni mume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…