Ngoja anipigie simu ananiona ----...!

eh....sasa unalia nini? tafuta mwingine ....
 
na nyie mnayatafutaga acha yawakute, unamuhudumia mtu ambae wala si mkeo wala ndunguyo kisa nini? umekuwa mzazi wake au kaka yake?

Sasa tusipowahudumia mnalalamika tukiwahudumia ndo kama hvyo tufanyaje mridhike tunawapenda sna:what:
 
Baba angu mi aliniambia kama ukimfumania mwanamke bar yupo na bwana mwingine kama unataka kumwacha umwache pale pale ila ukisema ukufika nyumbani ujue utamsamee atatia huruma sna na usipoangalia unarudishiwa kibao so kama unamsamehe msame ila kumuacha ilikuwa pale pale dawa yake unamtoa moyoni akiileta papuchi unaichakaza kweli na hela ya matumizi ndo mwisho
 
kwa hiyo demu wako hawezi kukuomba elfu 30 mpaka akudanganye...!!
 

Akikusindikiza na uwanja wa ndege, unamkimbia au..?
 

mhh kumbe tupo weng eh?? Mrsleo
 
daw ya mwanamke akikutenda n kumfanyizia tuu.either mnamfanya awe n mtu wa nuksi kula dakika. .au chiz
 
We subiri tu, Akitemwa huko aliko atakupigia faster tu. Hapo ndo atakuona we falaaa... utakapo mpokea.
 
Sasa tusipowahudumia mnalalamika tukiwahudumia ndo kama hvyo tufanyaje mridhike tunawapenda sna:what:

analalamika nani bwana, mbona sisi wengine hatukulalamika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…