Ngo ngo ngo ngo....!

Mmwaminifu

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
1,129
302
Hodi mji huu, heshima zenu wakuu. Naomba nami nipate uraia hapa ndani. Naahidi kuwa mwaminifu kama jina langu lilivyo.
 
Mmh! Asa unakujaje usiku ?
Shuka yenyewe moja tu! Inayotosha, iliyobaki inaishia ugokoni , sasa tuchangie hii moja? Au nikupe hiyo njiwa ?
 
Ni nani wewe unafata nini saa nane za usiku unafata nini saa nane za usikuuuu? Abby fungua mlango nikwambie mwenzako Abby fungua mlango nikwambie mwenzakoooo!! Ngo ngo ngo ni nani wewe?
 
Ni nani wewe unafata nini saa nane za usiku unafata nini saa nane za usikuuuu? Abby fungua mlango nikwambie mwenzako Abby fungua mlango nikwambie mwenzakoooo!! Ngo ngo ngo ni nani wewe?

Mkuu unajitahidi kukumbuka verse! Mi ukinishtua hata za wimbo wa taifa naweza chemsha
 
Mmh! Asa unakujaje usiku ?
Shuka yenyewe moja tu! Inayotosha, iliyobaki inaishia ugokoni , sasa tuchangie hii moja? Au nikupe hiyo njiwa ?

Mzee si unajua tena usafiri na pantoni liliogopa wave concussion oops i mean Tsunami. Hako kanjiwa katafaa
 
Back
Top Bottom