ngo ngo ngo hodi hodi humu ndani!!!!!

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
habari za kazi za kujenga taifar wana jamii wengi wenu mnaweza mkafikiri kuwa mimi ni mgeni humu jukwaani ni kweli ila co mgeni kwa kiac hicho ni mgeni kwa ku post & reply thread ila ni mwenyeji sana sana wa kusoma tu thread na replies za member(tangu des 2006) ILA leo nimeamua niwe memba kabsa wa jamii forum nipokeen wana jamii kwa shangwe japo tuna mcba mzto uliotukumba zanz NA wenz2 kenya na kongo ................assalaam alleykum
 

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
Mpk hodi yenyewe imeniamshaa chumbani. Karibu ndg! Lkn nina swali,Je? Umepitia mawili matatu kabla ya kugonga?
 

jacjaz

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
440
203
Uzuri wa JF kila siku wageni tupo...karibu sana kijana,japo mie ni km wewe!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom