Ngo ngo hodiiii

Ngo ngo hodiiii

collycool

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
203
Reaction score
192
Habarini waungwana natumai ni wazima kwa wale wagonjwa Mungu awape nguvu na afya nzuri mapema ili tuendelee kusongesha hili gurudumu la maisha, naomba niwe mmoja wa familia yenu wapendwa, kama mtafurahi mimi kuwa miongoni mwenu nitafurahi pia
 
Subiri kwanza tumelala, njoo asubuhi. lakinin karibu sana
 
Habarini waungwana natumai ni wazima kwa wale wagonjwa Mungu awape nguvu na afya nzuri mapema ili tuendelee kusongesha hili gurudumu la maisha, naomba niwe mmoja wa familia yenu wapendwa, kama mtafurahi mimi kuwa miongoni mwenu nitafurahi pia

Karibu sana JF na ninafurahi sana wewe kuwa mingoni mwa familia yetu
 
Back
Top Bottom