maguzu masese
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 283
- 139
Juzi Mbunge wa sengerema alikosa uvumilivu na kujikuta akiwatukana wakazi wa lbondo baada ya kuzomewa wakati akimunadi mgombea udiwani,aliwaambi lazima ccm ishinde hata kwa rirasi na kuwafanya wananchi waape kumwonyesha adabu

Huyu naye pesa ambazo alishaiba akiwa waziri ndizo bado zina mtesa...eti lazima ccm ishinde hata kama ni kwa risasi hivi ni viongozi gani wapuuzi kama hawa na matamshi yao ya kipuuzi kiasi hichi?
Kabla hajanogewa kutishia watu, asisahau kwamba ghorofa lake lililopo Mwanza laweza kuangushwa kwa dakika chache tu endapo atadiriki kumwaga damu ya mtu!
Japo anamatatizo yake, ila amewawekea umeme wanavijiji wa jimbo lake sehemu kubwa sana.
Ana laana za yule mlinzi wa atm