shekulumkende
Member
- Aug 6, 2013
- 50
- 12
Katika hali ya kushangaza kwenye ziara ya katibu mkuu wa CCM leo hapa Nkungi wilaya mpya Mkalama, mbunge wa jimbo hili Salome Mwambu achafua hali ya hewa baada ya kuzomewa na wananchi na akaanza kusingizia amefanyiziwa na mwenyekiti wa CCM mkoa Mgana Msindai.
Kadri alivyoendelea kuwaelezea wananchi alichokifanya jimboni mwake wananchi walizidi kipiga kelele kwa nguvu hatumtaki aende zake.
Mwisho wa yote Mwigulu na Nape wakamwokoa kwa kumwambia ashuke jukwani,katibu mkuu akamtetea wapi hali ilizidi kuwa mbaya.
Walichokifurahia zaidi wananchi ni hotuba ya Nape na Mwigulu iliyojaa porojo za uongo.