Ngereja achafua hali ya hewa Sengerema

Kamanda ebu nielekeze lilipo nikalipige picha nataka nimuandike kwenye gazeti la week hii iwe story yangu kubwa namtafuta sana huyu jamaa

Ni Zamani Sweet Corner Bar ( junction ya makoroboi na toka stand/soko kuu).. ukifika hapo kuna ghorofo refu sana ndio hilohilo na kwa taarifa tu kiwanja icho alidhurumu watoto yatimaa mahakamani.
 
Japo anamatatizo yake, ila amewawekea umeme wanavijiji wa jimbo lake sehemu kubwa sana.
haiwezekani kwamba itakuwa kwasababu wewe ni CCM utaongea unachotaka na watu wakuchekee siku zote, sikumoja tutawaonesha hawajanunua hii nchi walipewa tu ridhaa ya kuongoza... na ntu akikusaidia kwa oesa kodi za wana nchi ndiyo angee uppusi wa kupumbavu. je angekuwa ni mpinzani ndiyo karopoka hayo matapishi si ingekuwa ishu?
 
mbona habari hii nzuri imenipa mudi ya kufanya kazi leo, aksanten wana buchosa, msifanye kosa
 
Japo anamatatizo yake, ila amewawekea umeme wanavijiji wa jimbo lake sehemu kubwa sana.

wewe ivi unamaanisha au unachochea? kwan umeme kauweka kwa ela za bibi na babu yake? izo ela zlouwekea umeme ni kodi zetu wananchi wala asitambe kitu as if katoa mfukoni mwake
 
Juzi Mbunge wa sengerema alikosa uvumilivu na kujikuta akiwatukana wakazi wa lbondo baada ya kuzomewa wakati akimunadi mgombea udiwani,aliwaambi lazima ccm ishinde hata kwa rirasi na kuwafanya wananchi waape kumwonyesha adabu
jamaa ana hela za wizi yule atawalainisha tu.
 
Home boy kalewa sifa sasa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kuweka umeme ndio kunahalalisha vitisho na majigambo kwa wapiga kura? BTW umeme hakuweka yeye binafsi,ni pesa za walipa kodi wa nchi hii!

My foot! Umeme? Kwani aliutoa mfukoni au ni pesa ya Watz wote. Anaadhani akifanya hivyo atarudishwa uwaziri. Hamkuona alivyokuwa akijibu hoja za wizara ya nishati na madini? Poor boy?!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Japo anamatatizo yake, ila amewawekea umeme wanavijiji wa jimbo lake sehemu kubwa sana.

Mpango wa umeme Sengerema ulikuwapo toka kipindi cha William Shija wakati akiwa waziri wa Nishati na Madini.
Lazma apanic kwani Hamis Mwagao na mgombea udiwani wa Kata hiyo Emanuel Mnwanis walikua wapambe wake wakubwa na sasa wameachana nae na kuhamia CDM.
 
Juzi Mbunge wa sengerema alikosa uvumilivu na kujikuta akiwatukana wakazi wa lbondo baada ya kuzomewa wakati akimunadi mgombea udiwani,aliwaambi lazima ccm ishinde hata kwa rirasi na kuwafanya wananchi waape kumwonyesha adabu[/QUOTE

Wakiambiwa wanatumia MASABURI kuwaza wanakuwa wakali!!! Hao ndiyo WAHESHIMIWA WETU!! Unakwenda kwenye kampeni unatisha hivyo; ukishapata hayo madaraka si ndiyo utawanyea vichwani wananchi????
 
Uwakilishi wake Sengerema unahesabika 2015 baada ya kusikia kamanda Tabasamu katangaza nia nafikri kajipanga tena kutumia mamilioni ya shilingi kuhakikisha anarudi lakini makanda walishamwambia "wakati yeye anapita Busisi Makanda wanakatizia Kamanga". Hapo Nyampulukano labda ununue shahada za wapiga kura maana nasikia zimetengwa 70m kuhakikisha kata inarudi CCM.
 
Uwakilishi wake Sengerema unahesabika 2015 baada ya kusikia kamanda Tabasamu katangaza nia nafikri kajipanga tena kutumia mamilioni ya shilingi kuhakikisha anarudi lakini makanda walishamwambia "wakati yeye anapita Busisi Makamanda wanakatizia Kamanga". Hapo Nyampulukano labda ununue shahada za wapiga kura maana nasikia zimetengwa 70m kuhakikisha kata inarudi CCM.
 
Jamani, naomba mniwie radhi kwa kuwa nitakuwa tofauti kidogo na wachangiaji mliochangia. Huyu mheshiwiwa namfahamu vizuri sana na nimekuwa nae kwa ukaribu kwa muda mrefu nmekuwa mugumu kidogo kukubariana na maneno hayo. Nafikiri ni vizuri kama mleta habari angetuwekea na clip ili tujiridhishe, WMN ana madhaifu yake kama binadamu lakini ule usukuma alionao ni vigumu sana kuamini kuwa alitamka maneno hayo tena kwenye hadhara, huyu bwana amekuwa mstaarabu sana, hasa anapokuwa jimboni kwake hata maneno aongeayo akiwa Sengerema kiukweli yanakuwa ya kistaarabu ikumbukwe hapa mie siongelei utendaji kazi wake hilo nawaachia wana Sengerema watajudge! Na kama ni kweli katamka maneno hayo basi nimuombe tu arudi kwa wananchi wake awaombe msamaha, wasukuma ni wastaarabu sana wana kamsemo kao ka " Ndoho tabhu"
 
Nilisha shawishika na kuamini kuwa tama ya kutajirika hraka imemponza Ngeleja. Anatakiwa asome alama za nyakati anaweza kujikuta anagombana na wapiga kura wake hata pale ambapo wapiga kura wako sahihi
 
Naomba ujumbe huu wa ngeleja uwaendee moja kwa moja wananchi wa makambako ambao wamehutubiwa na nape kwamba CDM ina mpango wa kuandaa maandamano kwao ili kuua watu,leo hii ngeleja ameonyesha nani muuaji wa watanzania na lengo na madhumuni ya mauaji hayo ni kuedelea kushika dola bila kujali ni watanzania wangapi watapoteza maisha.
Kweli kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo ukweli unavyozidi kujidhihirisha.
Ongereni CDM kaza uzi watu hawa watajitambulisha wenyewe na matendo yao.
 
My foot! Umeme? Kwani aliutoa mfukoni au ni pesa ya Watz wote. Anaadhani akifanya hivyo atarudishwa uwaziri. Hamkuona alivyokuwa akijibu hoja za wizara ya nishati na madini? Poor boy?!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Mkuu wangu niliona na nikacheka sana,jamaa alikuwa Mlongo (kivuli).Ama kweli Uwaziri mtamu,nadhani huwa analala akiota yeye ni waziri wa Megawati,akiamka anakuta hola kumbe ilikuwa ni ndoto tu.Jamaa anakera sana,na tunamsubiri come 2015!
 
Mpango wa umeme Sengerema ulikuwapo toka kipindi cha William Shija wakati akiwa waziri wa Nishati na Madini.
Lazma apanic kwani Hamis Mwagao na mgombea udiwani wa Kata hiyo Emanuel Mnwanis walikua wapambe wake wakubwa na sasa wameachana nae na kuhamia CDM.

Asante Homeboy!
 
Japo anamatatizo yake, ila amewawekea umeme wanavijiji wa jimbo lake sehemu kubwa sana.

Mbona hata mkoloni alifanya mazuri lakini bado watu walimg'oa tu. kuweka umeme kila mtu alilipa pesa siyo bure. bado kuna mengi watu wanayahitaji na wala huwezi kuwalazimisha watu kwamba umefanya vya kutosha na hivyo lazima wakupe kura. Hizo ndo siasa hakuna mwenye hati milki ya kata, jimbo wala serikali. Mara nyingi viongozi wetu wamekuwa wakijidanganya hivyo. watu siyo mawe kwamba ulichosema mwaka ule basi wanakishikilia hicho tu yapo mabadiliko mengi sana ndani ya vichwa vya wapiga kura
 
Back
Top Bottom