Ngereja achafua hali ya hewa Sengerema

maguzu masese

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
283
139
Juzi Mbunge wa sengerema alikosa uvumilivu na kujikuta akiwatukana wakazi wa lbondo baada ya kuzomewa wakati akimunadi mgombea udiwani,aliwaambi lazima ccm ishinde hata kwa rirasi na kuwafanya wananchi waape kumwonyesha adabu
 
Kiburi cha pesa za kodi za watanzania kinawakosesha hekima. Wanajidanganya kutumia bunduki kukaa madarakani! it won' help them.
 
Au na yeye kaanza mkakati wa tukose wote kama aliokua nao dialo twenty ten
 
hapana mitu bado iko mburula hapa ata sisi misukuma sasa iko mbele kama uso!
Juzi Mbunge wa sengerema alikosa uvumilivu na kujikuta akiwatukana wakazi wa lbondo baada ya kuzomewa wakati akimunadi mgombea udiwani,aliwaambi lazima ccm ishinde hata kwa rirasi na kuwafanya wananchi waape kumwonyesha adabu
 
Kabla hajanogewa kutishia watu, asisahau kwamba ghorofa lake lililopo Mwanza laweza kuangushwa kwa dakika chache tu endapo atadiriki kumwaga damu ya mtu!
 
Bwana Maguzu masese hata mi niliipata hii kutoka kwa jamaa yangu,eti Ngereja anadai kuwa ni lazima diwani wao ashinde kwa garama yoyote ile lakini wananch naskia walikuwa wanamwambia kuwa hawadanganyika tena na pia watalinda kura zao had mwisho,pia alikusanya vijana wa boda boda pale misheni kama 50 hiv lkn waliokubali kukodiwa kwa ajili ya msafara wake ni 7 tu. Na pia inasemekana ccm washaanza kupenyeza vijisenti kwa wananch wa Nyampulukano lkn wamesema hawadanganyiki tena!
 
Kashiba sanaa makuku ya kichina mwili unapasuka sanaaa.... naisi ndio tatizo hilo kwake.

Jimbo lenyewe limemshinda.
2015 byebye.
 
Fedha wapokee,mafuta wawekewe lakini kura zao wampe diwani atakayewasaidia waamieeni risasi zitageuka maji mbele ya wananchi,washenzi sana haya MACCM yaani wanadhani wanaweza kucontrol akili na maamuzi ya wananchi what a shame
 
Juzi Mbunge wa sengerema alikosa uvumilivu na kujikuta akiwatukana wakazi wa lbondo baada ya kuzomewa wakati akimunadi mgombea udiwani,aliwaambi lazima ccm ishinde hata kwa rirasi na kuwafanya wananchi waape kumwonyesha adabu

Huyu naye pesa ambazo alishaiba akiwa waziri ndizo bado zina mtesa...eti lazima ccm ishinde hata kama ni kwa risasi hivi ni viongozi gani wapuuzi kama hawa na matamshi yao ya kipuuzi kiasi hichi?
 
Japo anamatatizo yake, ila amewawekea umeme wanavijiji wa jimbo lake sehemu kubwa sana.
 
Nchi hii haiwezi kuendelea kwa upuuzi huu wa kina Ngeleja eti lazima CCM ishinde hata kwa mtutu!
 
Huyu naye pesa ambazo alishaiba akiwa waziri ndizo bado zina mtesa...eti lazima ccm ishinde hata kama ni kwa risasi hivi ni viongozi gani wapuuzi kama hawa na matamshi yao ya kipuuzi kiasi hichi?

Then Kikwete anamwabia Kagame akae na waasi wazungumze!! Mnafiki tu !! Kwake mbona kubovu pia!
 
Kabla hajanogewa kutishia watu, asisahau kwamba ghorofa lake lililopo Mwanza laweza kuangushwa kwa dakika chache tu endapo atadiriki kumwaga damu ya mtu!

Kamanda ebu nielekeze lilipo nikalipige picha nataka nimuandike kwenye gazeti la week hii iwe story yangu kubwa namtafuta sana huyu jamaa
 
Japo anamatatizo yake, ila amewawekea umeme wanavijiji wa jimbo lake sehemu kubwa sana.

Kuweka umeme ndio kunahalalisha vitisho na majigambo kwa wapiga kura? BTW umeme hakuweka yeye binafsi,ni pesa za walipa kodi wa nchi hii!
 
Teh..teh....teh....Tanzania inaitwa nchi ya amani kwa kuwa ccm wanashika madaraka, wakikosa kuungwa mkono na wananchi wako tayari kwa lolote...shenji getegete...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom