kuhusu gesi kupanda...mtu wa ewura anasema gesi haizalishwi hapa nchini, hii ya songosongo haiwezi kutumika kama gesi ya kutumia nyumbani
tanesco wanasema wangefurahi kama wangepewa asilimia 38 walizoomba, hiyo 18 waliyopewa ni ndogo mno...
hivi hii miwani siku hizi mbona inasoma kinyumenyume?
mtu wa ewura anasema wao wanapata 1% ya ile gharama ya mtumia umeme na hiyo inaendesha zaidi ya taasisi tano
anasema euwra iliwashirikisha wananchi ktk maamuzi hayo.
Did they.....??? mbona mimi sikuwaona????? au kuna mmoja wetu hapa aliyewaona atujuze
kipindi kimeisha...hakuna kujiuzulu na mkiandamana mtakuwa mnavunja misingi mliyojiwekea ndugu watz
Mtego wa Noti,
Asante kwa kutupasha kilichokuwa kianendelea TBC, sasa tunaweza kufahamu kuwa kishindo cha maandamano kimeshaanza kumtikisa na si ajabu ikawa ndo sababu ya kwenda TBC
Sijabadilisha msimamo wangu.... 18% ni kubwa sana siwezi kuimudu.... hii tu iliyopo sasa inanisumbua.... maandamo na yaje, hatudanganyiki!!!!, yaani ngeleja anajua mfuko wangu kuliko mimi...... "eti hilo ongezeko ni dogo sana" dogo hana busara kabisa
tanesco wanasema wangefurahi kama wangepewa asilimia 38 walizoomba, hiyo 18 waliyopewa ni ndogo mno...
Aache kuwasingizia hao jamaa, kwani hakukuepo na MKATABA wa kuelekeza kitu gani kifanyike.
Hivyo anataka kutuaminisha ya kwamba maswala ya RICHMOND na DOWANDS za akina RA and EL zote ni matatizo ya Net-Group?? Kama hana kutuambia basi aachane nauongo na visingizio visivyoeleweka.