Ngeleja yuko TBC live anazungumzia mambo ya umeme

duh,yani jamaa anavyoongea,bora nizime tv ncje mrushia chupa nikapasua tv yangu
 
mtu wa ewura anasema wao wanapata 1% ya ile gharama ya mtumia umeme na hiyo inaendesha zaidi ya taasisi tano
 
anaulizwa kuhusu kujiuzulu...ngeleja anasema, watz wanaosema hivyo anawaheshim sana. anasema tatizo siyo kujiuzulu tatizo ni kuweka mipango ya kulitatua. anasema siyo masihara, in three yrs tatizo litakuwa limeisha
 
kuhusu maandamano, anasema wananchi lazima wapwe wanapewa taarifa sahihi kama vil kuambiwa ongezeko la bei. anasema euwra iliwashirikisha wananchi ktk maamuzi hayo.
anasema tukiandamana tutakuwa tunaharibu taraibu zilizopo
 
mtu wa ewura anasema wao wanapata 1% ya ile gharama ya mtumia umeme na hiyo inaendesha zaidi ya taasisi tano

mapato ya tanesco sasa ni zaidi ya bil 40 kwa mwezi, 1% yake ni 400m, bado kuna pasenti kama hizo kwenye maji, mafuta na gesi kwa ewura! budget yao ya mishahara inatoka hazina hizo pasenti zinagharimia mazagazaga mengine! hiv hao ewura nao ni watz? au ni net group nyingine ya wabantu? hebu mwenye credit kwenye simu amuulize hapo fasta kabla sijaipiga teke hii tv
 
aqnasema watu wakiandamana watakuwa wanakidhi matakwa ya watu fulani na kama watz wakiandamana watakuwa wanavunja utaratibu wa kistaarabu waliojiwekea toka awali.
 
eti mpaka 2015 Watakua na 1500MW jee hajui mpaka sasa just 8% tuu ya watanzania ndio wenye umeme mpaka sasa!jee hiyo 92 % ambayo haina umeme watapata wapi?au ndio maana wanapandisha cost za connections ili watumiaji wasiongezeke?
 
kipindi kimeisha...hakuna kujiuzulu na mkiandamana mtakuwa mnavunja misingi mliyojiwekea ndugu watz
 
kipindi kimeisha...hakuna kujiuzulu na mkiandamana mtakuwa mnavunja misingi mliyojiwekea ndugu watz

Mtego wa Noti,

Asante kwa kutupasha kilichokuwa kianendelea TBC, sasa tunaweza kufahamu kuwa kishindo cha maandamano kimeshaanza kumtikisa na si ajabu ikawa ndo sababu ya kwenda TBC
 
Sijabadilisha msimamo wangu.... 18% ni kubwa sana siwezi kuimudu.... hii tu iliyopo sasa inanisumbua.... maandamo na yaje, hatudanganyiki!!!!, yaani ngeleja anajua mfuko wangu kuliko mimi...... "eti hilo ongezeko ni dogo sana" dogo hana busara kabisa
 
Mtego wa Noti,

Asante kwa kutupasha kilichokuwa kianendelea TBC, sasa tunaweza kufahamu kuwa kishindo cha maandamano kimeshaanza kumtikisa na si ajabu ikawa ndo sababu ya kwenda TBC

Thanks for this. kwa kumuangalia tu..presha ilikuwa juu. tujiandae kwenda barabarani. jamani anzeni kuchapa mabango...get prepared kila mtu mwenye uchungu na nchi hii..
 
Aache kuwasingizia hao jamaa, kwani hakukuepo na MKATABA wa kuelekeza kitu gani kifanyike.

Hivyo anataka kutuaminisha ya kwamba maswala ya RICHMOND na DOWANDS za akina RA and EL zote ni matatizo ya Net-Group?? Kama hana kutuambia basi aachane nauongo na visingizio visivyoeleweka.
 
Sijabadilisha msimamo wangu.... 18% ni kubwa sana siwezi kuimudu.... hii tu iliyopo sasa inanisumbua.... maandamo na yaje, hatudanganyiki!!!!, yaani ngeleja anajua mfuko wangu kuliko mimi...... "eti hilo ongezeko ni dogo sana" dogo hana busara kabisa

anasema watu wana-exergrate mambo mno, ongezeko ni dogo mno, yaani sh 11 tu?! Naamini kila mtu sasa yuko tayari kuandamana.
 
tanesco wanasema wangefurahi kama wangepewa asilimia 38 walizoomba, hiyo 18 waliyopewa ni ndogo mno...

Eti nini??? Ama kweli hili ni janga la taifa kama tuna watu wenye akili kama hizi.........hao jamaa wa tanesco ni lazima watakuwa katika moja kati ya haya matatu (i)Wanaiba umeme (ii)Wanaishi kwenye nyumba za serikali wasizolipia umeme (iii)Wanapewa vocha unit za bure kila mwezi.

Maana mtu anayelipa hela zake kununua umeme asingeweza kusema haya, na inawezekana aliyasema hayo huku akiwa na tabasamu
 
Aache kuwasingizia hao jamaa, kwani hakukuepo na MKATABA wa kuelekeza kitu gani kifanyike.

Hivyo anataka kutuaminisha ya kwamba maswala ya RICHMOND na DOWANDS za akina RA and EL zote ni matatizo ya Net-Group?? Kama hana kutuambia basi aachane nauongo na visingizio visivyoeleweka.

eti nasema netgroup walikuwa wao hawawekezi bali kuvuna tu, ndio maana mpaka yakajitokeza mambo ya richmond na dowans...umeme wa dharura.!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom