Ngeleja na tanesco mnatutafuta nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngeleja na tanesco mnatutafuta nini??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mysteryman, Nov 1, 2011.

 1. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi hawa vilaza si walitangaza mgao kwisha kwa miezi mitatu...sasa mbona use..nge ni uleule wa kuzima umeme tena bila taarifa?? Hakyanani ningeweza kujiunga na al shabab huyu ngeleja ningesha mlipua siku nyingi....na hawa al shabab kwa nini wasilipue pale ubungo ili tukose kabisa umeme tujue moja
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Acha hasira kijana, panga hoja acha matusi, weka misimamo yako, utaeleweka.
   
 3. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sizinga tumekuwa wavumilivu kupitiliza na ndo mana tunaangamia huku tunajiona
   
Loading...