Ngeleja Kikaangoni TBC live

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Mwananchi amwambia wakikutana uso kwa uso patachimbika.....

Akijibu swali kuhusu madeni ya Tanesco asema Tanesco ilikuwa inadai zaidi ya bil 100 wakati netgroup solution walipoondoka lakini wamesha kusanya hadi zimebakia bil 5 tu. Alipoulizwa kwamba Tanesco inadai serikali kiasi gani, akasema takribani sh bil 200!!!!!

Mjadala unaendelea live, tazama
 
Tupeni habari zaidi maana huku wengine hao tanesko wameshakata umeme.
 
Sijui Kikwete alimtoa wapi huyu Ngeleja ambaye hata kiswahili hakijui acha kujibu maswali kama mtu ambaye anajua anachokisema. Shame on Kikwete and his Minister!!! nimeshangaa sana mpaka nimeondoka kwenye Luninga.
 
anasema maandamano ni kuvunja sheria eti ni kuleta vurugu eti ni kwa msalahi ya wachache eti anamipango mizuri, huyu waziri kweli bumunda yaani kilaza. Kaulizwa kwani asijiulize akasema eti yeye anaangalia kutatua tatizo kilaza ni kilaza kweli hajui kwamba yeye ndio kikwazo, kaulizwa kwanini watendaji wasiachwe huru anajing'atang'ata tu. Harafu kulikuwa na kiliza mmoja kutoka tanesco shirika tope anasema eti increase ya 18% ni ndogo saana anashindwa kuongelea jinsi alvyoshindwa kukusanya na kudhibiti umeme uliopotea- hawa kweli maandazi wote.
 
Back
Top Bottom