Ngeleja azua kizaa zaa Mwanza

Ngeleja azua kizaa zaa Mwanza

Jeuri ya pesa na kufuru ya matumizi makubwa ya mabiloni ya fedha anayotumia waziri huyu yameleta taharuki kubwa hapa Mwanza.
Kwanza jengo la magholofa mawili yaliyoungana lilopo ktk kiwanja namba7 kitalu o barabara ya Rufiji, linaweza kuwa moja kati ya majengo 5 ya thamani ktk jiji.

Pili amenunua nyumba3 karibu najengo hilo kwa sh mil 400 kila nyumba sasa anafanya maongezi na wamiliki wengine wa nyumba nyingine3 ktk mtaa wa pili unguja ili anunue na kuvunja nyumba zote6 ili kupata parking.

Ktk mtaa huo amekwaa kisiki baada ya nyumba moja ya watoto yatima kuinunua kinyemela kwa sh mil 60 kuamuliwa na mahakama kuirejesha. Hayo
yote anayafanya kupitia kwa diwani mmoja wa CCM wilayani Sengerema ambaye ni mvuvi

Huu uongo wewe umelipwa sh ngapi?
huyu diwan unaona hana fedha unamjua vyema au unakurupuka?
kwa taarifa yako nenda crdb na nbc kaulize turn over ya huyu diwan alafu usambaze uongo wako salama.huyu diwan ana hotel tatu hapa mwanza moja mwaloni nyingine nyegezi na nyingine nyakato sina shida ya kukukwambia majina.nenda tfp kaangalie account yake alfu uwatarifu waliokutuma uongo wako.
 
Hayo ndion matunda ya uwaziri na uswahiba ktk serikali ya mkwele
 
Hivi kwa nini huyu mwevi bado ni waziri wa umeme na dhahabu mpaka dakika hii?
 
Jeuri ya pesa na kufuru ya matumizi makubwa ya mabiloni ya fedha anayotumia waziri huyu yameleta taharuki kubwa hapa Mwanza.
Kwanza jengo la magholofa mawili yaliyoungana lilopo ktk kiwanja namba7 kitalu o barabara ya Rufiji, linaweza kuwa moja kati ya majengo 5 ya thamani ktk jiji.

Pili amenunua nyumba3 karibu najengo hilo kwa sh mil 400 kila nyumba sasa anafanya maongezi na wamiliki wengine wa nyumba nyingine3 ktk mtaa wa pili unguja ili anunue na kuvunja nyumba zote6 ili kupata parking.

Ktk mtaa huo amekwaa kisiki baada ya nyumba moja ya watoto yatima kuinunua kinyemela kwa sh mil 60 kuamuliwa na mahakama kuirejesha. Hayo
yote anayafanya kupitia kwa diwani mmoja wa CCM wilayani Sengerema ambaye ni mvuvi

Mkuu Mh Neleja hizi si pesa zake , yeye hapa anajaribu kuwasaidia akina Asha Madinda, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel katika kuwekeza jiji la mwanza ha ha ha ha
 
january makamba rais wangu 2015, naomba usiache vita dhidi ya huyu mdudu kwani lengo lake ni unyamaze. amchafue dadako, akuchafue wewe na barua pepe feki lakini siku yake itakuja ukishakuwa rais ataima nchi kama binamu yake Lau Masha. usinyamaze ukatuacha gizani na huyu mtu akaendelea kutumaliza kiasi hiki

makamba atakuwa waziri kwenye serikali ya umoja wa kitaifa itakayoundwa na cdm. Tutampa wizara ya ngeleja
 
Hicho ndo kinachonifanya nisitamani kuwa kiongozi wa serikali. Hivi kama mwalimu wa shule ya msingi anamanage kujenga nyumba kwa mshahara wake, cha ajabu ni nini kwa waziri kufanya hayo? Ukizingatia mshahara na marupurupu aliyonayo?
 
Msemo wa siku hizi tunasema, "Mulika mwizi"
 
Jeuri ya pesa na kufuru ya matumizi makubwa ya mabiloni ya fedha anayotumia waziri huyu yameleta taharuki kubwa hapa Mwanza.
Kwanza jengo la magholofa mawili yaliyoungana lilopo ktk kiwanja namba7 kitalu o barabara ya Rufiji, linaweza kuwa moja kati ya majengo 5 ya thamani ktk jiji.

Pili amenunua nyumba3 karibu najengo hilo kwa sh mil 400 kila nyumba sasa anafanya maongezi na wamiliki wengine wa nyumba nyingine3 ktk mtaa wa pili unguja ili anunue na kuvunja nyumba zote6 ili kupata parking.

Ktk mtaa huo amekwaa kisiki baada ya nyumba moja ya watoto yatima kuinunua kinyemela kwa sh mil 60 kuamuliwa na mahakama kuirejesha. Hayo
yote anayafanya kupitia kwa diwani mmoja wa CCM wilayani Sengerema ambaye ni mvuvi

Migodi imetema
 
Huu uongo wewe umelipwa sh ngapi? huyu diwan unaona hana fedha unamjua vyema au unakurupuka? kwa taarifa yako nenda crdb na nbc kaulize turn over ya huyu diwan alafu usambaze uongo wako salama.huyu diwan ana hotel tatu hapa mwanza moja mwaloni nyingine nyegezi na nyingine nyakato sina shida ya kukukwambia majina.nenda tfp kaangalie account yake alfu uwatarifu waliokutuma uongo wako.
Ushauri wangu mdogo tu, usikimbilie kutoa utetetezi kwa kutishia kwamba mtoa mada kahongwa au kapewa fedha. Wewe jitahidi kujenga hoja ya nguvu, na ujitahidi uivue hiyo miwani ya mbao uliyovaa na utaona halisia ya mambo. Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!!!!
 
Hilo linawezekana viongozi wengi wanafanya mambo kupitia migongo ya watu ili wasijulikane inabidi ufanyike uchunguzi kama nikweli basi hayo majengo yataifishwe na serikali
 
january makamba rais wangu 2015, naomba usiache vita dhidi ya huyu mdudu kwani lengo lake ni unyamaze. Amchafue dadako, akuchafue wewe na barua pepe feki lakini siku yake itakuja ukishakuwa rais ataima nchi kama binamu yake lau masha. Usinyamaze ukatuacha gizani na huyu mtu akaendelea kutumaliza kiasi hiki
upuuzi mtupu!
 
Kama ni kweli basi Ngeleja ni wa kupongeza sana. Tena sana tu. Ni viongozi wangapi wamepata kwa njia halali na haramu lakini wamekeza nje? Heri yeye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom