Mtanzania Kwanza
New Member
- May 24, 2013
- 3
- 0
Kwa mawaziri wa ccm kusema ukweli ni uchochezi.
Huyu. Ngeleja alikuwa anaongea kana kwamba anajibu hoja za wabunge. Alisahau kuwa yeye siyo waziri bali ni mbunge aliyetakiwa kuongelea mambo ya jimboni kwake. Niliishia kumhurumia. Dah! Kumbe uwaziri mtamu.Kawalipua wapi wewe! yeye ndo kaambiwa kwamba aliichafua nishati na madini! na huyu Muongo ndo anasafisha uozo wake pale wizarani
Ngeleja awalipua upinzani Bungeni leo kuwa lengo lao ni kupinga hoja zinazoletwa mezani na Serikali ya CCM. Hii ikiwa ni lengo lao kuu la kutaka kushika madaraka. Wao muda wote wako kuhangaikia kutafuta madaraka na kusahau kuunga mkono hoja za kimaendeleo za waTanzania.
Wanasema uongo na kuchochea chuki wananchi kwa Serikali yao huku wakipinga mikakati ya wizara mbalimbali ya kimaendeleo. Je huu ndio upinzani? kupinga hata maendeleo?

Dr.Kigwangwalla alisema Ngereja naye anataka kugombea urais kupitia CCM 2015.
Nasikia kuna tetesi zinadai Ngereja ameshaanza kupanga na baraza lake la mawaziri, huenda Jairo atakuwa Waziri mkuu!!