Ngeleja awalipua Upinzani

Ngeleja awalipua Upinzani

Mtanzania Kwanza

New Member
Joined
May 24, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Ngeleja awalipua upinzani Bungeni leo kuwa lengo lao ni kupinga hoja zinazoletwa mezani na Serikali ya CCM. Hii ikiwa ni lengo lao kuu la kutaka kushika madaraka. Wao muda wote wako kuhangaikia kutafuta madaraka na kusahau kuunga mkono hoja za kimaendeleo za waTanzania.

Wanasema uongo na kuchochea chuki wananchi kwa Serikali yao huku wakipinga mikakati ya wizara mbalimbali ya kimaendeleo. Je huu ndio upinzani? kupinga hata maendeleo?
 
Kawalipua wapi wewe! yeye ndo kaambiwa kwamba aliichafua nishati na madini! na huyu Muongo ndo anasafisha uozo wake pale wizarani
 
Dr.Kigwangwalla alisema Ngereja naye anataka kugombea urais kupitia CCM 2015.

Nasikia kuna tetesi zinadai Ngereja ameshaanza kupanga na baraza lake la mawaziri, huenda Jairo atakuwa Waziri mkuu!!
 
Kwahiyo wapinzani ndo wamewazuia kuleta maendeleo kwa miaka yao yote ya utawala! This is rubish.. Nilimsikia alivyokuwa anabwabwaja...
 
Kawalipua wapi wewe! yeye ndo kaambiwa kwamba aliichafua nishati na madini! na huyu Muongo ndo anasafisha uozo wake pale wizarani
Huyu. Ngeleja alikuwa anaongea kana kwamba anajibu hoja za wabunge. Alisahau kuwa yeye siyo waziri bali ni mbunge aliyetakiwa kuongelea mambo ya jimboni kwake. Niliishia kumhurumia. Dah! Kumbe uwaziri mtamu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ngeleja mchafu wala hana sifa ya kuwaongoza wapinzani waongee kitu gani.

-Alikuwa waziri, kwanini alitoka huko? uchafu, uongo na ahadi zisizotekelezeka bugeni mara kwa mara.

-Ngeleja bila aibu kupitia aliyekuwa katibu mkuu wake Jairo, walichangisha fedha ilikuhonga bajeti yake ipite- maajabu makubwa!!!!!

-Ngeleja bila aibu alionekana kutoka nje ya ofisi yake na wapambe wake wakisukuma gari na kumshagilia mtoa rushwa Jairo.

Sasa wapinzani wakae kimya bila kukemea upuuzi huo ambao hata Waziri mkuu na Rais wake kikwete wameshindwa kuwawajibisha ipasavyo akina Jairo, Ngeleja na timu yao. Ni deturi ya kila mfa maji haishi kutapatapa-Na ngeleja ni hivyo hivyo ni mfa maji na wa kupuuza.

Ngeleja awalipua upinzani Bungeni leo kuwa lengo lao ni kupinga hoja zinazoletwa mezani na Serikali ya CCM. Hii ikiwa ni lengo lao kuu la kutaka kushika madaraka. Wao muda wote wako kuhangaikia kutafuta madaraka na kusahau kuunga mkono hoja za kimaendeleo za waTanzania.

Wanasema uongo na kuchochea chuki wananchi kwa Serikali yao huku wakipinga mikakati ya wizara mbalimbali ya kimaendeleo. Je huu ndio upinzani? kupinga hata maendeleo?
 
Hoja gani wapinzani wamepinga bungeni?wakati wao ccm wapo wengi na huwa kila kitu NDIYOO!
 
tatizo tanzania tumejenga mfumo wa siasa wa staili ya nyani kuwacheka wengine kuwa wako uchi kumbe anayecheka na mwenyewe yuko uchi.

tunataka vyama viwe na sera ya gesi nasi tutaviunga mkono kulingana na sera zao katika hili pamoja na mambo mengine. swala la kukosoana wakati ukimuuliza wewe unayekosoa mpango wako ni upi hana.
 
Ngeleja awalipua upinzani Bungeni leo kuwa lengo lao ni kupinga hoja zinazoletwa mezani na Serikali ya CCM. Hii ikiwa ni lengo lao kuu la kutaka kushika madaraka. Wao muda wote wako kuhangaikia kutafuta madaraka na kusahau kuunga mkono hoja za kimaendeleo za waTanzania.

Wanasema uongo na kuchochea chuki wananchi kwa Serikali yao huku wakipinga mikakati ya wizara mbalimbali ya kimaendeleo. Je huu ndio upinzani? kupinga hata maendeleo?

Eti hawa ndio aina ya Wabunge wa CCM. Yaani wamegeuka kuwa Mawaziri kiasi kwamba uwakilishi wa wananchi bungeni haupo tena!!

Wameshindwa kutimiza ahadi walizo ahidi kwa waTanganyika, wanaishia kulalalmikia upinzani.

Hivi kweli kama ahadi wametimiza kungekuwa na haja ya kuzipigia debe kiasi hicho? Si waTanganyika wangeziona wenyewe? Nguvu kubwa wanatumia kujitapa na vitu ambavyo havionekani ki uhalisia!!

Kwa mfano mkoani Tanga. ni kitu gani cha maendeleo MAGAMBA wanaweza kujinadi kwamba wamekifanya?
 
Ngeleja awalipua upinzani Bungeni leo kuwa lengo lao ni kupinga hoja zinazoletwa mezani na Serikali ya CCM. Hii ikiwa ni lengo lao kuu la kutaka kushika madaraka. Wao muda wote wako kuhangaikia kutafuta madaraka na kusahau kuunga mkono hoja za kimaendeleo za waTanzania.

Wanasema uongo na kuchochea chuki wananchi kwa Serikali yao huku wakipinga mikakati ya wizara mbalimbali ya kimaendeleo. Je huu ndio upinzani? kupinga hata maendeleo?

Aha uongo we gamba, mie nimesikiliza mwanzo mwisho...alikuwa anabwabwaja tu ili arudishwe kwenye uwaziri...!!
Zingine zilikuwa ni ngonjera tu kama za mafisadi wenzie, eti kutaka serikali ipongezwe!!

Huko ni kujilipua, sio kulipua!
 
Hivi tangu bunge limeanza alishawahi kuchangia?
Huyo ni mzee wa ndiyoooooo! Asubiri 2015 aachie jimbo
 
Ngeleja awalipua upinzani Bungeni leo kuwa lengo lao ni kupinga hoja zinazoletwa mezani na Serikali ya CCM. Hii ikiwa ni lengo lao kuu la kutaka kushika madaraka. Wao muda wote wako kuhangaikia kutafuta madaraka na kusahau kuunga mkono hoja za kimaendeleo za waTanzania.

Wanasema uongo na kuchochea chuki wananchi kwa Serikali yao huku wakipinga mikakati ya wizara mbalimbali ya kimaendeleo. Je huu ndio upinzani? kupinga hata maendeleo?

Hivi NGELEJA BDO NI MBUNGE? Yuko wapi cku hizi.
 
Ngeleja anajibu hotuba ya upinzani kwani yeye waziri wa wizara gani???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wizara ilimshinda akae kimya asubiri 2015 tuondoke na jimbo arudi kuchunga ng'ombe. Amekumbuka shuka kumekucha.
 
Sarakasi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Dr.Kigwangwalla alisema Ngereja naye anataka kugombea urais kupitia CCM 2015.

Nasikia kuna tetesi zinadai Ngereja ameshaanza kupanga na baraza lake la mawaziri, huenda Jairo atakuwa Waziri mkuu!!

Yesu wangu mbona hiyo nchi itakuwa ya michango hata ya harusi za watu binafsi tutachangishwa.
 
Back
Top Bottom