Ngeleja atembelea Mgodi wa Barrick, Tulawaka

Ngeleja atembelea Mgodi wa Barrick, Tulawaka

kwani kashamaliza ile mikutano yake kuibomoa chadema kanda ya ziwa?

Umeme umemshinda.....atawaweza Chadema?.....

Hayo mafuta ya bure in a maana serikali ....imeshindwa kuweka mafuta magari Yake.....Je pesa ya mafuta waliyochukuwa ofisini watarudisha????? Maana magari nane full tank ni Kama million 2.....integrity ya mtu inapimwa na vitu vidogo sana....Kama anakubali hata vimafuta...ataweza vipi kuwatetea waswahili pale mgodini wanaolalamika ubaguzi wa rangi...? Je atakuwa na guts za kukataa dola laki 2 ...aliwekewa mezani?

Unajulikana wazi kuwa Ngeleja is a big time cheap corrupt buddy.....
 
Back
Top Bottom