Ngeleja anastahili hili kwa uwezo wake

Ngeleja anastahili hili kwa uwezo wake

Hana subra alimfukuzisha MLINZI WA BENK YA STANDARD CHARTERED HAFAI KABISA KISA ETI ALIMUOMBA ASIONGEE MUDA MREFU KWENYE ATM BILA KUPATA HUDUMA MSTARI MREFU WATEJA WANALALAMIKA. AKASIMAMIA HADI MLINZI AKAFUKUZWA KUWA ETI UNAJUA MIMI NI NANI!! SASA TUKIMPA URAIS SI NDO KABISA.......
 
Nadhani watanzania wanaopaswa kuongozwa na huyo kilaza ni ukoo wako tu. Na kwakuwa kishawahonga basi mtumikieni
 
Hana subra alimfukuzisha MLINZI WA BENK YA STANDARD CHARTERED HAFAI KABISA KISA ETI ALIMUOMBA ASIONGEE MUDA MREFU KWENYE ATM BILA KUPATA HUDUMA MSTARI MREFU WATEJA WANALALAMIKA. AKASIMAMIA HADI MLINZI AKAFUKUZWA KUWA ETI UNAJUA MIMI NI NANI!! SASA TUKIMPA URAIS SI NDO KABISA.......

Acha ndoto
 
watanzania wengi wanajua umuhimu wa ngereja na wanasema anafaa wewe nani usema hafai twambie unayeona anafaa.

Ni watanzania wa aina yako ndio wanamuona ngereja anafaa wanahisi urais ni kama mchezo wa baba na mama. Msichezee akili za watanzania.
 
Haya ndo matoke/madhara ya urais wa JK!! Kila mtu sasa anaweza kuwa rais wa Jamhuri ya muungani wa Tanzania!! JK kashusha sana heshima ya ofisi ya raisi kiasi kwamba kila mtu sasa anafikiri au anajipambanua kuwa anaweza kuwa raisi wa Taifa hili. Msije mkashangaa hata raisi wa wasafi sasa akasema anaweza kuwa raisi wa Tanzania
 
Mleta mada utakuwa umekula maharage!!
Ngeleja huyu huyu toilet paper ya mafisadi achukue urais?? Kwa yeye kuteuliwa kuwa naibu waziri na hatimae waziri kamili mkwe.re alishinikizwa na akina Rostam ili watu wapige hela(najua unafahamu madudu yaliyojitokeza) na hata kabla hajaukwaa ubunge Ngereja alikuwa mwajiriwa wa vodacom ya RA.
Ngereja mwisho wake awamu hii na hutamuona tens kwenye medani za kisiasa after2015 na kwa kudhihirisha hilo mji wa Sengerema na vijiji vingi tu jimboni kwake vinaongozwa na CHADEMA. Kifupi ni kwamba CCM wliayani Sengerema imeshafutwa totally completely.

Muone huyu na hoja yake ya demotion..

Soma hapa uelewe
Vijana tunajua na watz na dunia nzima imejaa ushahidi wa viongozi bora waliowahi kushinda uongozi wa nchi yao katikati ya kashfa za kutengenezwa. Mfano rais J Zuma mwaka 2004 walimfitni na kumtimua kwenye Chama cha ANC,kwa kashfa za kutengeneza kuhusu biashara ya silaha na uzinzi,lakini jamaa hakukata tamaa aliendelea kupambana na 3 years later akawa rais wa nchi. Uhuru Kenyatta wa Kenya naye alishinda urais huku akiwa anakabiliwa na kashfa za kutengenezwa za mauaji na akiwa ana kesi ICC na kashfa ya ardhi. Nadhani mnakumbuka scandal ya rais Bill Clinton na Monica Lewinsky,hata mzee wetu Mwinyi naye aliyashinda majaribu! So obvious Ngeleja atashinda tu kashfa zote anazozushiwa na wanaomhofu,watz wanalijua hilo.
 
Hana subra alimfukuzisha MLINZI WA BENK YA STANDARD CHARTERED HAFAI KABISA KISA ETI ALIMUOMBA ASIONGEE MUDA MREFU KWENYE ATM BILA KUPATA HUDUMA MSTARI MREFU WATEJA WANALALAMIKA. AKASIMAMIA HADI MLINZI AKAFUKUZWA KUWA ETI UNAJUA MIMI NI NANI!! SASA TUKIMPA URAIS SI NDO KABISA.......

Acha kutokwa povu kaka, unaongea usiyoyajua
 
Ngereja, mbali na kumpigia chapuo la Urais hata Ubunge hapati. Hakuna alichofanya Sengerema zaidi ya kujitengenezea barabara inayoishia kwake, Very sad!!!!!!.
Sasa wewe ulitaka ajenge barabara ya kwenda kwa mchepuko wako, Ngeleja ni mpango wa mungu .
 
Mwaka huu Ni mwaka wa kusimamia maslahi ya taifa bila kusita tunayo nafasi ya pekee Na nafasi hii Ni ya kumpata mtu mwadilifu,mchapakazi Na anayeuzika .

Kusema hivi hakutoshi. Tunao watu wengi waliotangaza Na ambao inaonekana wana nia ya kwenda Magogoni.
Kuna makundi sita ambayo mpaka Sasa uchunguzi unaonesha kuna makundi matano.
1. Kundi la kwanza Ni la wanaotka Tanzania visiwani
2. Kundi la pili Ni la mawaziri wakuu wastaafu.
3. Kundi la jinsia ya kike.(Gender factor)
4. Kundi la wanaopitia mgongo wa dini
5. Kundi la mawaziri walio madarakani mpaka Sasa.
6. Kundi la vijana.

Kila mwaka makundi haya matano ya kwanza huwa yapo ila mwaka huu tumepata mtu ambaye anazo sifa Na anaingia katika kila kundi Na kuonekana Ni mtu sahihi.

Mtu huyu Ni Willium Ngeleja.
Kiukweli ukiangalia vijana wote kila mmoja bila kumungunya maneno lazima umtaje mtu huyu.

1. Wakati akiwa naibu Waziri wa nishati Na madini ilimchukua mwaka mmoja tu kupandishwa ngazi na kuwa Waziri kamili.
Hii inaonesha kuwa anao uwezo binafsi ambao wengine wameukosa Na mpaka Sasa wamekuwa manaibu Waziri kwa miaka hata minne bila promotion.

Niseme kuwa hata MH Rais kama anasita kuwaamini hata kuwakabidhi hizo wizara rasmi. Hii inaonekana kuwa uwezo wao bado Ni mdogo ukilinganisha Na kundi la vijana ambao bado Ni mawaziri mpaka Sasa.

3. Siasa anazotumia Mh Ngeleja Ni siasa safi ambayo ukiangalia utaona kuwa hana chembe ya shaka lolote. Makundi mengine haya yameufanya kusaka urais kama vita ya Simba Na swala. Watu wanawindana kila mahali kwa kupandikiziana kashfa ila hata kwa watu wa team ya T2015WMN tumeshuhudia wakifanya siasa safi bila kuwachafua wengine.

4. Nidhamu binafsi kwa chama Na watu wengine. Mfano miezi kadhaa iliyopita chama kiliwapiga ban Na mpaka Sasa hatujaona akivunja misingi ya adhabu hiyo. Pia Mh Ngeleja amekuwa mtiifu wakati wote Na haswa lilipokuja suala la kujiuzulu nyadhifa alizokuwa nazo baada ya sakata la Escrow

5. Matumizi yake ya vyombo vya habari. Mpaka Sasa Takwimu zinaonesha kuwa WMN anatumia vizuri media Na hii inamtofautishinamtofautisha Na wagombea wengine ambao kila kukicha mawakala wao wanahangaika huku Na huko wakuwatafutia public sympathy kwa watanzania. Matumizi mazuri ya media yanafanya watu kumwamini sana Kijana huyu ambaye amejiandaa kuwafanyia ma kubwa watanzania.

6. Kukubalika Eneo analotokea. William Ngeleja Ni mkazi wa mkoa wa Mwanza Na jimbo la Sengerema. Pia Ni mtu peke anayetoka kanda ya ziwa. Wote Ni mashahidi kuwa katika uchaguzi Wa s/mtaa waziri huyu mstaafu katika jimbo lake CCM ilishinda kwa 83%.

Pia anakubalika kanda ya ziwa amapo ndipo walipo wapiga kura wengi. Situmii hili kama sababu ya kuligawa taifa na ya kuwagawa wananchi.( nisinukuliwe vibaya). Bali huu ndo ukweli kuwa WMN amejipambanua kanda ya ziwa vya kutosha.

Ukiangalia umri, uwezo binafsi Na vitu vingine vingi na ukamchambua kila mmoja mmoja bila kupinga wala kusita mtu sahihi kwa wakati huu Ni WMN. Mambo yapo mengi Na siwezi yasema yote ila kusema kweli WMN Ni mtu wa kuaminiwa ili apeperushe bendera ya chama 2015.

Viva Ngeleja 2015.
Naomba niwakumbusheni kwamba: mnaofuatilia mambo hata mwaka jana kwenye hafla ya kumuaga former CAG Utto alirudia kusema kati ya mambo yaliyowahi kumstaajabisha ni wabunge kushadidia issue ya Jairo wakati hakukuwa na kosa lolote! Ngeleja hayuko juu ya sheria,kama angehusishwa na rushwa Takukuru lazima wangeruka naye na umma ungejua. Ngeleja ni jemedari anayefaa kuongoza nchi!
 
Hakuna kma yy na anaye mfikia , tuashe ushabiki wa team tukubaline Ngeleja atoshaa sana 2015 kupokea mkona ya JK
 
Back
Top Bottom