Ngeleja anastahili hili kwa uwezo wake

Ngeleja anastahili hili kwa uwezo wake

Ngeleja anastali kuongoza nchi, kwanza hakurupuki anapoamua kufanya maamuzi. Ni mtu makini sana. Jambo moja muhimu ambalo napenda kuwakumbusha wanatanzania na wazalendo wenzangu kuhusu Ngeleja ni kwamba Ngeleja ndiye aliyeasisi mradi wa bomba la gesi kutoka mtwara mpaka dar es salaam na hatimaye kusambazwa nchi nzima. Mradi ambao ndiyo muarobaini wa Tatizo la umeme Tanzania, pia ,mradi ambao utaiwezesha nchi kuzalisha zaidi ya MW 10000, na kuiwezesha nchi kuuza nje ya nchi zaidi ya mega watt 7000 baada ya kukizi matumizi ya ndani ya megawatt 3000.

Akiwa kama kijana shupavu mzalendo na mpenda maendeleo ya nchi na watanzania kwa ujumla anatosha kuongoza nchi kama rais ajaye 2015.

Ngereja, mbali na kumpigia chapuo la Urais hata Ubunge hapati. Hakuna alichofanya Sengerema zaidi ya kujitengenezea barabara inayoishia kwake, Very sad!!!!!!.
 
Huna unachojua kuhusu Sengerema ww, kaa kimyaa
 
Kati ya mtu alie haribu uchumi wa nchi kwa mgao Hatari ambao haujawahi kutokea tena ni William Ngeleja.

Pia wakati akiwa madarakani alituchomekea Richmond. Mgao kapata 40.4 M. Huyu ni bora hata ya J. Makamba.
 
Katika wizara yake ninachokumbuka ni REA na kupungua bei za umeme.Z
aidi ya asilimia 90 aliyokuwa anayafanya Prof Muhongo ni yale yaliyoanzishwa na Ngeleja. Mpango wa kushusha bei ya kuunganisha umeme kwa wananchi ulianzishwa na Ngeleja mwaka 2010/2011 kupitia mradi wa majaribio ulioanzia wilaya za Mbozi na Kilombero. Pilot project hiyo ilipotick,ikawa scaled up nchi nzima,na bei ikashuka hadi Tsh 27 elfu vijijini.
 
Ishu ya mgawo wa Rugemalira Ngeleja aliimaliza tar 2 Machi alipotoa maelezo yake mbele ya Baraza la Maadili. Waliofuatilia wanakumbuka na vyombo vya habari viliripoti vizuri tu kwamba: mil 40 alizopewa ilikuwa ni msaada wa kawaida kama wapewavyo wabunge wengine kusaidia kutimiza wajibu wao wa kibunge ndani na nje ya majimbo yao. Misaada hiyo huwasaidia kutekeleza mambo ambayo hayapo kwenye bajeti ya Serikali Kuu,Halmashauri au Mfuko wa Jimbo. Na alilikumbusha Baraza la Maadili kwamba yeye hakuwa wa kwanza kupokea msaada wa namna hiyo,akatoa mfano Zitto ameishapokea msaada wa zaidi ya sh 119 mil kutoka NSSF na Tanapa. Pia Zitto mwaka jana alipata msaada wa takribani 35 mil shs kutoka PAP ya singasinga aliyesababisha kadhia ya Escrow. Baadhi ya wabunge walipohoji msaada wa Zitto hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi ya Zitto. Isitoshe Ngeleja kalipia msaada aliopata kodi ya asilimia 30 (Tsh 13Mil), hivyo amebaki na shs 27 mil tu ambazo alielezea matumizi yake,mengi yakiwa ni harambee za dini na misaada kwa wana jimbo lake na nje ya jimbo lake.
 
Naam, hiyo ni sifa kubwa sana kwa Kikwete.

Mliaminishwa kuwa Urais ni unabii?

Hiyo ni Sifa au kushindwa?

Kila kitu hovyo hovyo usimpe bichwa kwa Sifa za kijinga au waswahili husema usimvike kilemba cha ukoka!!!
 
Mleta mada utakuwa umekula maharage!!
Ngeleja huyu huyu toilet paper ya mafisadi achukue urais?? Kwa yeye kuteuliwa kuwa naibu waziri na hatimae waziri kamili mkwe.re alishinikizwa na akina Rostam ili watu wapige hela(najua unafahamu madudu yaliyojitokeza) na hata kabla hajaukwaa ubunge Ngereja alikuwa mwajiriwa wa vodacom ya RA.
Ngereja mwisho wake awamu hii na hutamuona tens kwenye medani za kisiasa after2015 na kwa kudhihirisha hilo mji wa Sengerema na vijiji vingi tu jimboni kwake vinaongozwa na CHADEMA. Kifupi ni kwamba CCM wliayani Sengerema imeshafutwa totally completely.
 
Ngereja nitunu ya taifa
Mwaka huu Ni mwaka wa kusimamia maslahi ya taifa bila kusita tunayo nafasi ya pekee Na nafasi hii Ni ya kumpata mtu mwadilifu,mchapakazi Na anayeuzika .
Kusema hivi hakutoshi. Tunao watu wengi waliotangaza Na ambao inaonekana wana nia ya kwenda Magogoni.
Kuna makundi sita ambayo mpaka Sasa uchunguzi unaonesha kuna makundi matano.
1. Kundi la kwanza Ni la wanaotka Tanzania visiwani
2. Kundi la pili Ni la mawaziri wakuu wastaafu.
3. Kundi la jinsia ya kike.(Gender factor)
4. Kundi la wanaopitia mgongo wa dini
5. Kundi la mawaziri walio madarakani mpaka Sasa.
6. Kundi la vijana.
Kila mwaka makundi haya matano ya kwanza huwa yapo ila mwaka huu tumepata mtu ambaye anazo sifa Na anaingia katika kila kundi Na kuonekana Ni mtu sahihi.
Mtu huyu Ni Willium Ngeleja.
Kiukweli ukiangalia vijana wote kila mmoja bila kumungunya maneno lazima umtaje mtu huyu.
1. Wakati akiwa naibu Waziri wa nishati Na madini ilimchukua mwaka mmoja tu kupandishwa ngazi na kuwa Waziri kamili.
Hii inaonesha kuwa anao uwezo binafsi ambao wengine wameukosa Na mpaka Sasa wamekuwa manaibu Waziri kwa miaka hata minne bila promotion.
Niseme kuwa hata MH Rais kama anasita kuwaamini hata kuwakabidhi hizo wizara rasmi. Hii inaonekana kuwa uwezo wao bado Ni mdogo ukilinganisha Na kundi la vijana ambao bado Ni mawaziri mpaka Sasa.
3. Siasa anazotumia Mh Ngeleja Ni siasa safi ambayo ukiangalia utaona kuwa hana chembe ya shaka lolote. Makundi mengine haya yameufanya kusaka urais kama vita ya Simba Na swala. Watu wanawindana kila mahali kwa kupandikiziana kashfa ila hata kwa watu wa team ya T2015WMN tumeshuhudia wakifanya siasa safi bila kuwachafua wengine.

4. Nidhamu binafsi kwa chama Na watu wengine. Mfano miezi kadhaa iliyopita chama kiliwapiga ban Na mpaka Sasa hatujaona akivunja misingi ya adhabu hiyo. Pia Mh Ngeleja amekuwa mtiifu wakati wote Na haswa lilipokuja suala la kujiuzulu nyadhifa alizokuwa nazo baada ya sakata la Escrow

5. Matumizi yake ya vyombo vya habari. Mpaka Sasa Takwimu zinaonesha kuwa WMN anatumia vizuri media Na hii inamtofautishinamtofautisha Na wagombea wengine ambao kila kukicha mawakala wao wanahangaika huku Na huko wakuwatafutia public sympathy kwa watanzania. Matumizi mazuri ya media yanafanya watu kumwamini sana Kijana huyu ambaye amejiandaa kuwafanyia ma kubwa watanzania.

6. Kukubalika Eneo analotokea. William Ngeleja Ni mkazi wa mkoa wa Mwanza Na jimbo la Sengerema. Pia Ni mtu peke anayetoka kanda ya ziwa. Wote Ni mashahidi kuwa katika uchaguzi Wa s/mtaa waziri huyu mstaafu katika jimbo lake CCM ilishinda kwa 83%.
Pia anakubalika kanda ya ziwa amapo ndipo walipo wapiga kura wengi. Situmii hili kama sababu ya kuligawa taifa na ya kuwagawa wananchi.( nisinukuliwe vibaya). Bali huu ndo ukweli kuwa WMN amejipambanua kanda ya ziwa vya kutosha.
Ukiangalia umri, uwezo binafsi Na vitu vingine

vingi na ukamchambua kila mmoja mmoja bila kupinga wala kusita mtu sahihi kwa wakati huu Ni WMN. Mambo yapo mengi Na siwezi yasema yote ila kusema kweli WMN Ni mtu wa kuaminiwa ili apeperushe bendera ya chama 2015.

Viva Ngeleja 2015👍👍
 
Ngereja kwajinsi alivyo tusaidia umeme vijijini kiukweri hatutomsahau ,tunamuomba mungu ampe maisha marefu.
 
Mleta mada utakuwa umekula maharage!!
Ngeleja huyu huyu toilet paper ya mafisadi achukue urais?? Kwa yeye kuteuliwa kuwa naibu waziri na hatimae waziri kamili mkwe.re alishinikizwa na akina Rostam ili watu wapige hela(najua unafahamu madudu yaliyojitokeza) na hata kabla hajaukwaa ubunge Ngereja alikuwa mwajiriwa wa vodacom ya RA.
Ngereja mwisho wake awamu hii na hutamuona tens kwenye medani za kisiasa after2015 na kwa kudhihirisha hilo mji wa Sengerema na vijiji vingi tu jimboni kwake vinaongozwa na CHADEMA. Kifupi ni kwamba CCM wliayani Sengerema imeshafutwa totally completely.
Ninawasiwasi na uwezo wako wakufikiria Ngereja jimboni kwake CCM imeshinda kwa 83% sijui wewe unazungumza data za wap labda unaota.
 
Hebu niambie halimashauri ya mji mdogo sengerema inaongozwa na chama gani? then linganisha na kipindi kile ngereja wako anaingia madarakani! kamwambie km kakutuma kutafuta kick huku mitandaoni basis wanasengerema tulishamdelete zamani sana.
 
Mwaka huu Ni mwaka wa kusimamia maslahi ya taifa bila kusita tunayo nafasi ya pekee Na nafasi hii Ni ya kumpata mtu mwadilifu,mchapakazi Na anayeuzika .
Kusema hivi hakutoshi. Tunao watu wengi waliotangaza Na ambao inaonekana wana nia ya kwenda Magogoni.
Kuna makundi sita ambayo mpaka Sasa uchunguzi unaonesha kuna makundi matano.
1. Kundi la kwanza Ni la wanaotka Tanzania visiwani
2. Kundi la pili Ni la mawaziri wakuu wastaafu.
3. Kundi la jinsia ya kike.(Gender factor)
4. Kundi la wanaopitia mgongo wa dini
5. Kundi la mawaziri walio madarakani mpaka Sasa.
6. Kundi la vijana.
Kila mwaka makundi haya matano ya kwanza huwa yapo ila mwaka huu tumepata mtu ambaye anazo sifa Na anaingia katika kila kundi Na kuonekana Ni mtu sahihi.
Mtu huyu Ni Willium Ngeleja.
Kiukweli ukiangalia vijana wote kila mmoja bila kumungunya maneno lazima umtaje mtu huyu.
1. Wakati akiwa naibu Waziri wa nishati Na madini ilimchukua mwaka mmoja tu kupandishwa ngazi na kuwa Waziri kamili.
Hii inaonesha kuwa anao uwezo binafsi ambao wengine wameukosa Na mpaka Sasa wamekuwa manaibu Waziri kwa miaka hata minne bila promotion.
Niseme kuwa hata MH Rais kama anasita kuwaamini hata kuwakabidhi hizo wizara rasmi. Hii inaonekana kuwa uwezo wao bado Ni mdogo ukilinganisha Na kundi la vijana ambao bado Ni mawaziri mpaka Sasa.
3. Siasa anazotumia Mh Ngeleja Ni siasa safi ambayo ukiangalia utaona kuwa hana chembe ya shaka lolote. Makundi mengine haya yameufanya kusaka urais kama vita ya Simba Na swala. Watu wanawindana kila mahali kwa kupandikiziana kashfa ila hata kwa watu wa team ya T2015WMN tumeshuhudia wakifanya siasa safi bila kuwachafua wengine.

4. Nidhamu binafsi kwa chama Na watu wengine. Mfano miezi kadhaa iliyopita chama kiliwapiga ban Na mpaka Sasa hatujaona akivunja misingi ya adhabu hiyo. Pia Mh Ngeleja amekuwa mtiifu wakati wote Na haswa lilipokuja suala la kujiuzulu nyadhifa alizokuwa nazo baada ya sakata la Escrow

5. Matumizi yake ya vyombo vya habari. Mpaka Sasa Takwimu zinaonesha kuwa WMN anatumia vizuri media Na hii inamtofautishinamtofautisha Na wagombea wengine ambao kila kukicha mawakala wao wanahangaika huku Na huko wakuwatafutia public sympathy kwa watanzania. Matumizi mazuri ya media yanafanya watu kumwamini sana Kijana huyu ambaye amejiandaa kuwafanyia ma kubwa watanzania.

6. Kukubalika Eneo analotokea. William Ngeleja Ni mkazi wa mkoa wa Mwanza Na jimbo la Sengerema. Pia Ni mtu peke anayetoka kanda ya ziwa. Wote Ni mashahidi kuwa katika uchaguzi Wa s/mtaa waziri huyu mstaafu katika jimbo lake CCM ilishinda kwa 83%.
Pia anakubalika kanda ya ziwa amapo ndipo walipo wapiga kura wengi. Situmii hili kama sababu ya kuligawa taifa na ya kuwagawa wananchi.( nisinukuliwe vibaya). Bali huu ndo ukweli kuwa WMN amejipambanua kanda ya ziwa vya kutosha.
Ukiangalia umri, uwezo binafsi Na vitu vingine vingi na ukamchambua kila mmoja mmoja bila kupinga wala kusita mtu sahihi kwa wakati huu Ni WMN. Mambo yapo mengi Na siwezi yasema yote ila kusema kweli WMN Ni mtu wa kuaminiwa ili apeperushe bendera ya chama 2015.

Viva Ngeleja 2015👍👍

Acha kutumika kama toilet paper. Unadhani urais ni kama kufanya uchangudoa? Ngereja hafai
 
Back
Top Bottom