Mtanzania Safi
Member
- Oct 9, 2014
- 95
- 13
Mwaka huu Ni mwaka wa kusimamia maslahi ya taifa bila kusita tunayo nafasi ya pekee Na nafasi hii Ni ya kumpata mtu mwadilifu,mchapakazi Na anayeuzika .
Kusema hivi hakutoshi. Tunao watu wengi waliotangaza Na ambao inaonekana wana nia ya kwenda Magogoni.
Kuna makundi sita ambayo mpaka Sasa uchunguzi unaonesha kuna makundi matano.
1. Kundi la kwanza Ni la wanaotka Tanzania visiwani
2. Kundi la pili Ni la mawaziri wakuu wastaafu.
3. Kundi la jinsia ya kike.(Gender factor)
4. Kundi la wanaopitia mgongo wa dini
5. Kundi la mawaziri walio madarakani mpaka Sasa.
6. Kundi la vijana.
Kila mwaka makundi haya matano ya kwanza huwa yapo ila mwaka huu tumepata mtu ambaye anazo sifa Na anaingia katika kila kundi Na kuonekana Ni mtu sahihi.
Mtu huyu Ni Willium Ngeleja.
Kiukweli ukiangalia vijana wote kila mmoja bila kumungunya maneno lazima umtaje mtu huyu.
1. Wakati akiwa naibu Waziri wa nishati Na madini ilimchukua mwaka mmoja tu kupandishwa ngazi na kuwa Waziri kamili.
Hii inaonesha kuwa anao uwezo binafsi ambao wengine wameukosa Na mpaka Sasa wamekuwa manaibu Waziri kwa miaka hata minne bila promotion.
Niseme kuwa hata MH Rais kama anasita kuwaamini hata kuwakabidhi hizo wizara rasmi. Hii inaonekana kuwa uwezo wao bado Ni mdogo ukilinganisha Na kundi la vijana ambao bado Ni mawaziri mpaka Sasa.
3. Siasa anazotumia Mh Ngeleja Ni siasa safi ambayo ukiangalia utaona kuwa hana chembe ya shaka lolote. Makundi mengine haya yameufanya kusaka urais kama vita ya Simba Na swala. Watu wanawindana kila mahali kwa kupandikiziana kashfa ila hata kwa watu wa team ya T2015WMN tumeshuhudia wakifanya siasa safi bila kuwachafua wengine.
4. Nidhamu binafsi kwa chama Na watu wengine. Mfano miezi kadhaa iliyopita chama kiliwapiga ban Na mpaka Sasa hatujaona akivunja misingi ya adhabu hiyo. Pia Mh Ngeleja amekuwa mtiifu wakati wote Na haswa lilipokuja suala la kujiuzulu nyadhifa alizokuwa nazo baada ya sakata la Escrow
5. Matumizi yake ya vyombo vya habari. Mpaka Sasa Takwimu zinaonesha kuwa WMN anatumia vizuri media Na hii inamtofautishinamtofautisha Na wagombea wengine ambao kila kukicha mawakala wao wanahangaika huku Na huko wakuwatafutia public sympathy kwa watanzania. Matumizi mazuri ya media yanafanya watu kumwamini sana Kijana huyu ambaye amejiandaa kuwafanyia ma kubwa watanzania.
6. Kukubalika Eneo analotokea. William Ngeleja Ni mkazi wa mkoa wa Mwanza Na jimbo la Sengerema. Pia Ni mtu peke anayetoka kanda ya ziwa. Wote Ni mashahidi kuwa katika uchaguzi Wa s/mtaa waziri huyu mstaafu katika jimbo lake CCM ilishinda kwa 83%.
Pia anakubalika kanda ya ziwa amapo ndipo walipo wapiga kura wengi. Situmii hili kama sababu ya kuligawa taifa na ya kuwagawa wananchi.( nisinukuliwe vibaya). Bali huu ndo ukweli kuwa WMN amejipambanua kanda ya ziwa vya kutosha.
Ukiangalia umri, uwezo binafsi Na vitu vingine vingi na ukamchambua kila mmoja mmoja bila kupinga wala kusita mtu sahihi kwa wakati huu Ni WMN. Mambo yapo mengi Na siwezi yasema yote ila kusema kweli WMN Ni mtu wa kuaminiwa ili apeperushe bendera ya chama 2015.
Viva Ngeleja 2015.