mbasajohn
JF-Expert Member
- Mar 14, 2009
- 247
- 39
- Thread starter
- #21
Jana Mwanza umeme umerudishwa saa kumi na mbili baada ya kukatika siku nne mfululizo, na baada ya wabunge wa mkoa wa mwanza kuiagza serikali kurudisha umeme hasa baada ya Mbunge shupavu wa Nyegezi Mh.
Wenje kutoa hoja Bungeni ambao mama makinda badala ya kutaka majibu palepale akawabeba serikali na kuitaka itoe taarifa, sijui leo au kesho maana sikuwa na umeme kama kawaida wakati swala linatokea Bungeni.
Hoja yangu hapa ni kwamba Serikali hii ni ya undava kama unataka kitu kitekelezwe kama ilivyotokea jana umeme kurudishwa Mwanza, naamini ni bila ukali wa wabunge wa Mwanza may be hata leo umeme na maji visingekuwepo Mwanza.
Hivyo wananchi tuamke tuwe wakali na kuiambia serikali kwa vitendo na sio maneno vinginevyo nchi itasimama maana mda huu ishaanza kufunga breki.