Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

mtoto wa rostam aziz megawati zilimshinda kuongeza sasa anakalia kuti kavu
 
Aliposema tatizo la umeme litakuwa historia hamkumwelewa alitaka kusema umeme ni suala nyeti laweza mngoa hata waziri au waziri mkuu
 
Kwa mtu kama Ngeleja cheo si dhamana na wala si kuwatumikia wananchi bali ni kujinufaisha yeye na familia yake. Hatuwezi kuendelea hata siku moja tukiwa na viongozi aina ya Ngeleja ambao siku zote wanawaza kuifisadi nchi badala ya kuwaletea maendeleo wananchi.
 
Mnaleta bajeti ya harusi bungeni mkiamb
yaani muda wote mnawaza mambo ya ngono tu hakuna mfano mwingine wa kutoa mpaka harusi maana mwisho wake ni kuingia chumbani..CCM bana akili zenu za ajabu sana...
 
yaani muda wote mnawaza mambo ya ngono tu hakuna mfano mwingine wa kutoa mpaka harusi maana mwisho wake ni kuingia chumbani..CCM bana akili zenu za ajabu sana...
Na 2015 Mbowe atakapo mtimua padri Slaa akirudi CCM tunamfungisha Ndoa hata ya kwa DC na huyo kimada wake, maana CCM tunawaza Ndoa sio uzinifu Kama kwenu.
 
Na 2015 Mbowe atakapo mtimua padri Slaa akirudi CCM tunamfungisha Ndoa hata ya kwa DC na huyo kimada wake, maana CCM tunawaza Ndoa sio uzinifu Kama kwenu.

Mkuu ilikuwa lazima uchangie hii mada kama hukuwa na cha kusema ?
 
Anadhani kupanua mdomo ni formula! Slaa anaingiaje kwenye suala la Ngeleja? Hayo ni maisha yake binafsi ambayo ameyaweka public na kila mtu anajua kuliko nyie mnaotumia kodi zetu kuharibu mama na dada zetu. Dawa yenu ndo naipakua hivi hakuna atakayesalimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…