Ngedere wanaharibu mazao msaada tafadhali.

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,889
Points
2,000

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,889 2,000
Habari za wakati huu!
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ninasumbuliwa sana na wanyama waharibifu hususan ngedere shambani kwangu. Nimetumia mbinu mbalimbali mfano kuwatega mitego, kuwafukuza kwa kutumia mbwa n.k ila mbinu zote hizi zimefeli. Kwa yeyote ambaye anafahamu mbinu mbadala ya kuwadhibiti anifahamishe au kama kuna aina ya sumu ya kuwawekea isiyo na harufu pia itakuwa nzuri zaidi maana ni wajanja mno ukiweka sumu ya kawaida hawali wanasikia harufu.
Nawasilisha.

Mkuu huko shambani kwako hakuna nduguze Kikwete (wakwere)? Wale jamaa wanapenda kujifananisha na wachina wa Tanzania (Wahehe) kwa kula vitu vya hajabu.
 

Forum statistics

Threads 1,343,297
Members 515,007
Posts 32,779,645
Top