

Hivi ngedere ndo hao ho tumbili?Hawa wanyama kwakweli huwa napenda sana kuwaangalia maana wanavijimambo na vituko mbalimbali..
![]()
![]()
![]()
![]()
JamaniNawaonaga kwa wingi pale kwenye ofisi kubwa ya mtaa wa lumumba.....![]()
![]()

JamaniNawaonaga kwa wingi pale kwenye ofisi kubwa ya mtaa wa lumumba.....![]()
![]()

Kwanini Ngedele ndio wasimuliaji wa tamthilia za tingatinga?Hawa wanyama kwakweli huwa napenda sana kuwaangalia maana wanavijimambo na vituko mbalimbali..
![]()
![]()
![]()
![]()
Haina shida mama nmekuelewaNgedere wanawapenda sana ngedere wenzao si kama sisi binadamu. Nahisi sitakuwa nimenoa nikisema hata wewe mleta mada utakuwa ni ngedere flani hivi. Nimejua tu ulivosema unawapenda ngedere sana. Teh teh.