Ngazi za mishahara Serikalini na jeshi la Polisi kwa kazi ile ile ni sawa

Erick Martie

JF-Expert Member
Jun 6, 2015
301
338
mimi ni mwanafunzi wa kada ya afya ningependa mnisaidie kujua mishahara ya jeshi la polisi na serikalin kwa kaz hyo hyo moja inalingana au jeshi la polisi kuna marupurupu yanaongezeka,
na kama unafaham wanatoaje cheo kwa m2 mwenye digrii au diploma
 
Back
Top Bottom