Ranks JF-Expert Member Oct 21, 2012 2,583 1,097 Jan 17, 2017 #3 Kambaku said: We endelea tu...... Click to expand... Hivi hata tukiulizia hiyo meli yetu ni uchochezi??? Au Ilikuwa yake kama nji hii ilivyo yake???
Kambaku said: We endelea tu...... Click to expand... Hivi hata tukiulizia hiyo meli yetu ni uchochezi??? Au Ilikuwa yake kama nji hii ilivyo yake???
darcity JF-Expert Member Jul 20, 2009 9,039 17,933 Jan 17, 2017 #4 Hii ndio Mv Bagamoyo/Dar imefufuka?
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Jan 19, 2017 #5 Hahahaha!!! Mh alituingiza chaka. Amshukuru JK hakumtumbua. Jamaa alikuwa gamba
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 52,967 61,157 Jan 19, 2017 #6 Mleta Mada Kumbuka Kauli Ya Yale Magazeti Mawili. Mkulu Alisema Namnukuu "Siku Zao Zinahesabika"