hiyo fantastic kwa swahili sifahamu ila lugha yetu tamu sana hata kama haina mvuto haha!Hainogi. Kuna maneno ya kiingereza ukiyatafsiri kwa kiswahili hayanogi, mfano Fantastic.
Ngazi kwa kiingereza inaitwaje ..je kupanda ngaz kwa kiingereza utasemaje
huwa tunasema "gold minerals".Mtoa mada samahani kwa kuingilia uzi wako kwani nami ningependa kuuliza kupitia uzi wako huu sentensi ya kiswahili ifuatayo kuwa inatakiwa iweje katika umoja (singular):
"Madini ya dhahabu".
Thanksi'm in lift dude!
StairsNgazi inaitwa ladder ( kifaa) Na zile za nyumba yaani sehemu ya jengo huitwa upstairs
Wamarekani wanaita elevator.lift
Stairs
viingereza vipogo vingi sana kulingana na eneo na muda kwa mfano wakati malkia Elizabeth alipokuwa binti mido skuli ngazi tuliita step.Ngazi kwa kiingereza inaitwaje ..je kupanda ngaz kwa kiingereza utasemaje
huwa tunasema "gold minerals".
maji ya matunda!wakuu me nauliza
JUICE kwa kiswahiri inaitwaje ?
Mambo mengine huku kwetu yalichelewa kufika, hatuna maneno yake...sasa hivi jirani wanajaza web na maneno mapya ya kutunga, yana ukakasi ni balaa...kama sharubatiHainogi. Kuna maneno ya kiingereza ukiyatafsiri kwa kiswahili hayanogi, mfano Fantastic.
Asante mkuu!!i miss you
Nime ku"peza"
(i miss you so much)
Nimekupeza sana
Teheeeee upstairs... [emoji23] [emoji23] [emoji23] zinaitwa stairs bwana.... Can you walk the stairs??Ngazi inaitwa ladder ( kifaa) Na zile za nyumba yaani sehemu ya jengo huitwa upstairs
Ulisoma shule zetu zile eehh...Naomba nikurebishe. Ngazi za ndani (au hata nje) ya jengo zinaitwa STAIRS na sio Upstairs.
Upstairs inatumika kama mahali ambapo ni ghorofani. Hivyo ndio maana unapotaka kwenda ghorofani juu, unasema 'I am going Upstairs' ila unapotaka kushuka kutoka ghorofani unasema 'I am going downstairs'