Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Klabu ya Simba imedai kuwa mchezaji Mrisho Halfan Ngassa bado ni mchezaji wao halali kwakuwa wana mkataba naye hadi mwisho wa msimu ujao.
Hayo aliyasema Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Hanspope alipokuwa akihojiwa na Radio One jana. Hanspope alidai kuwa Ngassa alipelekwa Simba kwa mkopo akitokea Azam FC lakini baadaye alisaini mkataba wa hadi msimu wa 2013/2014.
Ngassa tayari ameshatambulishwa rasmi kuwa amejiunga na Yanga.
Yetu macho...