Ngassa - 'Hamisi Tambwe ni bonge la mshambuliaji'

Ngassa - 'Hamisi Tambwe ni bonge la mshambuliaji'

kovai tamil taiga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
1,571
Reaction score
2,192
Hayo ni maoni ya Ngassa aliyoyatupia Acc yake ya Twitter! Kama yalivyonaswa ShaffihDauda blog!
Wahenga huwa hawakosei! Kizuri kinajiuza!!kibaya .......!
 
Uhuru wa maoni ndio huo, ila hala hala kidole na macho! Hapo Yanga kwa maoni hayo!!...wanakusubiri uongeze kauli nyingine!! Hawachelewi ku change!nenda nao taratibu! Nembo 'nyekundu' ya mdhamini tu waliigomea!!
 
Makoye Matale: Amis Tambwe ni bonge la mpigaji wa magoli ya penati. Ni-like kwenye fb na unifuate kwenye twitter kwa habari zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Uhuru wa maoni!! Ngassa wakikubadilikia huko ungana naye alipo muendeleze ma'hat trick'.....alafu zile 45M watakurudishia!!!
 
Huu ni uungwana mkubwa ameuonesha Ngassa, yaani sijategema na nadhani anatamani arudi simba maana wakati ule Sunzu alikua anapishana na krosi zake
 
Hiki ndicho kilichotokea kwa Kaseja kwani Ngassa ndiye aliyetoa maoni asajiliwe simba (japo yalikaa kiswahiba zaidi) , maana yeke ni kinyume cha wengi wanavyofikiria, hapa anawaamsha akina Katabaro wamsajili Yanga
 
Makoye Matale: Amis Tambwe ni bonge la mpigaji wa magoli ya penati. Ni-like kwenye fb na unifuate kwenye twitter kwa habari zaidi.

Kamaunakerwa na magoli yake ya penati, chukua magoli yake yote ekesha toa kwa yale aliyofunga kwa penati, usimlishe Ngassa maneno
 
Back
Top Bottom