Mtoto yake nepi,ikumbukwe alienda west ham akaambiwa kijana unafaa kafanye mazoezi alivyorudi bongo kaja kuoa sasa anataka nini au ameshikiwa akiri zake hana jipya
Nimekuwa nikimsikia Aden Rage kila siku akilalama kuwa mpira wetu umeingiliwa na watu asio wa mpira. Sasa naanza kumwelewa!!!!
...Maagizo ya JK na lile jambazi RZ1 haya ....!! Mpira bongo umeingiliwa kama ambavyo sirikali ya awamu hii ilivyoingiliwa na usanii wa kila aina !! Huyo huyo juzi tu katamka kuwa wamuache akatafute maisha na sasa leo anaongopewa na hao mabingwa wa kupiga watu kalenda ....hivi anajua akina njoroge, na hata huyo kocha wao aliyepita kuwa wanadai pesa zao na waliambiwaga hivi hivi njoo kesho..???
Dah! Huyu dogo kama kweli katamka kauli hiyo itafika siku atajuta wakati majuto hayasaidii.
Kha! Starehe gani anazozifanya bongo huyu dogo jinga.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
Jamani shule jambo la msingi sana. Hapa nanusa harufu ya 50% IQ kwa wengi wetu humu. Hongera Samagoal maana angalau wewe uliamua kuonyesha nini maana ya mpira kwenye maisha yako, hao wengine watajuta.Hivi nyie mnaotoa mapovu bila hoja zaidi ya "ni dili zuri", mnatambua Ngasa alilalamikia nini? Alipohongwa kwa Simba hakuhusishwa, si mwajua kuwa wachezaji wa Tanzania ni kama bidhaa? Alilalamikia kitendo hicho, akahongwa gari. Kabla hata hajasahau kitendo kile kisicho cha kiungwana, ghafla anasoma magazetini kuwa amepigwa mnada kwenda bucha za Sudan, si amekuwa ng'ombe yule? Unapomuuza ng'ombe utamuuliza kama anaridhia? Tena bila aibu tunasikia eti msomali "ame-negotiate" mshahara wake kuwa ni dola 4,000. Mwe! Inamaana msomali amekuwa wakala wake? Huu upuuzi lazima ukomeshwe. ALICHOFANYA NGASA NI KUPIGANIA UTU WAKE, NA SI TAMAA YA PESA KAMA WATOKWA MAPOVU WEEENGI HUMU JAMVINI WALIVYO. Utumwa kitu kibaya sana. Hongera Ngasa, you are setting new standards kwenye soka letu linaloongozwa na waroho wa pesa kama walivyofanya Azam na Simba. Ujinga huu hatuuoni kwenye nchi zilizo serious na soka.
Mnakumbuka Ngasa alipokwenda Simba ilitangazwa kuwa eti amepewa mkataba mrefu ili kuipotezea Yanga? Sasa suala la tamaa ya dola limewaumbua mbaya. AIBUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!
Haaahaaahaaaaa! EasyKwani mnamlazimisha?
Waislam wangapi wasiotaka huo Uislam? Nani kati yenu alishawahi kufikiria kwenda Iran zaidi ya kujazana ubalozi wa US kuomba VISA? Ngasa ana haki ya kuamua hatma yake. Nyie mnachukulia dhiki zenu kuwa ndio kigezo cha Ngasa kuishi.
Kila mmoja anazungumzia dili zuri, nyie mlishawahi kukaa huko? Unafikia kumuita MJINGA/MPUMBAVU kwa kuwa tu amekataa kufanywa kiroba cha kupakiwa kwenye gari bila ridhaa.
Sudan ni nchi ya Kiislam ndio na haina starehe. Mwanadamu hakuumbwa kuishi kwa unyonge na dhiki kama mnavyoamini. Ngasa anataka uhuru wake wa kuishi kama mwanadamu na sio kucharazwa viboko hadharani kisa hakwenda msikitini
KWA MAONI YANGU: Hao viongozi wa Simba na Azam ndio wanaomfanya Ngasa mtoto, kiasi wampeleke Simba bila ridhaa yake na baadaye El Mereikh. Darfur nani anaitaka? Nenda wewe basi ambaye sio mjinga/mpumbavu kuliko kumwaga povu jukwaani kama mama Chiku na sabuni yake ya family detergent
...Maagizo ya JK na lile jambazi RZ1 haya ....!! Mpira bongo umeingiliwa kama ambavyo sirikali ya awamu hii ilivyoingiliwa na usanii wa kila aina !! Huyo huyo juzi tu katamka kuwa wamuache akatafute maisha na sasa leo anaongopewa na hao mabingwa wa kupiga watu kalenda ....hivi anajua akina njoroge, na hata huyo kocha wao aliyepita kuwa wanadai pesa zao na waliambiwaga hivi hivi njoo kesho..???
Hawa ndio wachezaji wa Tanzania
hili dili angalipata mnaigeria ama mghana.. Asingeongea hata neno moja. Wenzetu wanajua ku fight sana
Pesa ni maua, jazba zote hizi ni Simba kukosa $50k, period!
Wabongo acheni kujifanya labda ulaya mlikaa sana. Kama hawa ndio wa Tanzania niambie yupi wa Ulaya ambaye unaweza ukamuhamisha tu bila ridhaa yake akacheze Ligi ya Iran kwa kuwa tu klabu imeona itapata fedha?
Hovyo!
Pesa ni maua, jazba zote hizi ni Simba kukosa $50k, period!
Ngasa kwa kiwango chake hastahili kucheza soka hapa bongo,Huko Sudan kuna wachezaji wengi wa kigeni nakumbuka hata kuna kipa wa Misri Essam El Hadar alikuwa anacheza hukoWabongo acheni kujifanya labda ulaya mlikaa sana. Kama hawa ndio wa Tanzania niambie yupi wa Ulaya ambaye unaweza ukamuhamisha tu bila ridhaa yake akacheze Ligi ya Iran kwa kuwa tu klabu imeona itapata fedha?Hovyo!
Ngasa kwa kiwango chake hastahili kucheza soka hapa bongo,Huko Sudan kuna wachezaji wengi wa kigeni nakumbuka hata kuna kipa wa Misri Essam El Hadar alikuwa anacheza huko