mpalu
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,521
- 876
- Thread starter
- #61
mpaka wakati huu huitaki kua mini habari hii ni ya kweli.....we mbayaaaaaKwenye huu uzi nimeshindwa hata niandike nini aise. Anyway ngoja nijaribu, kama hii habari ni ya kweli basi club ya Simba kuna haja kubadili uongozi tukianza na mwanasheria wa timu.