Ngao ya Jamii: Simba Anashinda Leo!

Mganga wako ni mmakua au mzigua...
 
Mashabiki wa simba mpira unachezwa uwanjani na siyo mdomoni au humu jukwaani.
 
1. Golikipa hatoshi.
2. Beki wa kushoto (kata maema)
3. Kiungo No 6
(Kata katleso)
4. Mshambuliaji No 9
(Kata DUMBIA)
 
Mjomba umesababisha mikeka ya watu kuchanika. Unajisikiaje huko uliko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…